Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
<br />Mie ndo kabisa, nasubiri mwaka ccm watakavyokuja Kilimanjaro kuomba kura ndo tuwahoji ilikuwaje?
<br />
hahahahah,,, hapo utawaweza mkuu,,, watayameza maneno yao, lakini hayataweza kumezaka tena, kwa sababu umma mzima utakua umeshayasikia, kuyatafakari na kuyaelewa