Well.. wapo wanaume watakaomchagua kama mke wake alivyomchagua hujaona wakipiga mavuvuzela na kushika mabango? Kama uko offended usimchague its as simple as that. Msamaha hupati.

why are you to hush?
kwani ule "umati" ni wananchi wa igunga wote wale...? Na yale mafuso yalifata nini nzega, na wale abiria wake walipelekwa wapi?

siasa nahisi ndiyo mchezo ambao huwa siuelewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee

mkuu mbona hii comment yako haiendani kabisa na thread ya hapo juu.
Wakichagua CCM wao ni mbumbu sio? Acheni upuuzi wenu. Ina maana nyie wa CDM ndio wenye akili? Tatizo lenu nyie ni hizo hasira zenu ndio maana mnamwagia watu tindikali.
inaendana sema hujamusosama vizuri. Anamaanisha, ukiwa mweledi huwezi kufika wala kujihusiha na mahali ccm walipo. Kushangalia kwao, kukusanyika kwao, na mbwembwe zao inaonesha ni mbumbumbu, kwa hawajui umaskini na hali duni ya maisha waliyonayo umesababishwa na haohao cmm. Pia hawajui ni kivipi ccm wanaliibia taifa.
kwani umesahau kuwa watu walisombwa kwa malori kutoka maeneo jirani na wilaya jirani? Nyie mawakala wa magamba acheni upumbavu wa kutofikiri. Mtakumbuka kwenye uchaguzi mkuu wa 2010 siku jk (mangungo) anaenda karatu (kwa dr. Slaa) malori yalisomba watu kutoka arusha, mto wa mbu, magugu na mbulu mpaka abiria waliotaka kwenda sehemu hizo wakakwama kwa sababu magari yote yalikuwa yanaenda karatu (tena bure) ili mradi watu waonekane wengiiiiiiiiii, na kesho yake magazeti ya magamba yakaandika front page "kikwete afunika/ateka mji wa karatu". Wenye akili tu walielewa kilichofanyika ila mabumbumbu na wenye matope vichwani wakachota habari kama ilivyo. Sasa hata kwa hili la igunga mimi sishangai.
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Bi Mkora meza kuu ipi, ile ya vijana wanaorudisha kadi au ile ya wazee wa CCM (05)?
Kweli nyie ni kama chama chenu, bado hamjakomaa kisiasa.wakumbushe makuadi wa cmm, wepesi kusahau
wakichagua ccm wao ni mbumbu sio? Acheni upuuzi wenu. Ina maana nyie wa cdm ndio wenye akili? Tatizo lenu nyie ni hizo hasira zenu ndio maana mnamwagia watu tindikali.
Ni wazo zuri sana hilo, ndio mbinu mnayo tumia CDM nini?

Hao waliorudisha kadi wasiwape hofu, wanamchezo wa kuwanunulia kadi kwa ajili ya kuzirudisha ili kuwahadaa watu. Kitaeleweka tu hata hao wanakuchukulieni pesa lakini wamechoshwa na CCM kuwarubuni kwa zaidi ya miaka 30.
Mzee wa Rula [h=2 said:Picha za Uzinduzi wa kampeni jimboni Igunga[/h] Hizo ni baadhi ya picha ambazo zimepatikana leo katika uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM jimboni Igunga.
Rais Mstaafu Ndg Benjamini Mkapa akimnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM Ndg Dr. Kafum.
Sehemu ya umati uliohudhuria mkutano huo.
Kama kawaida wasanii wa Original Komedi walikuwepo kusherekesha uinduzi huo.
Baadhi ya vijana wakirudisha kadi za CDM baada ya Mkapa kumwaga sumu.
Katibu mkuu Ndg Willson Mkama anaonekana akisisitza jambo katika uzinduzi huo. Awali ilidhaniwa asingehudhuria.
Hapo awali ilidhaniwa Rostam asingehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumtafuta mrithi wake, swali sijui siasa uchwara zilizomuondoa amezisamehe.
Rostam na Mkama wakionekana wakifuatilia kwa umakini uzinduzi huo, siasa kazi kweli kweli.
Bango hili mmmm utalisemea mwenyewe.
hapo wengi wanaonekana walikuja kuwaangalia the orijino komedi. Hao vijana wanaorudisha kadi ni wanaccm walioandaliwa na magamba kana kwamba ni vijana wa chadema wanajiunga ccm, ili kutaka kuwapumbaza wana mageuzi.