watu hawa inawezekana wametoka wilaya zote za jirani kwa ajili ya kuja kumuona mkapa, ngoja kampeni zitulie ndio utajua ccm wako wangapi
kwa idadi hii niliyoiona ushindi wa CDM huko wazi maana ninavyofahamu mimi CCM debe walilopiga wiki mbili nzima la kukusanya watu na kutoa usafiri wa bure ungetegemea siyo uwanja kujaa bali mpaka kwenye miti hiyo ungeona watu wamejaa. kwa idadi ya kwenye picha hizi CCM ina hali ngumu ukizingatia uwanja huu ni mdogo umezungukwa zaidi ni vijumba kwa sababu ukimuangalia mtu wa mbele mpaka wa nyuma kabisa may be wanaweza kuwa 25M a part kwahiyo kama nilivyosema ni mapema lakini CCM ina hali ngumu kama hawa ndio watu walioweza kuwakusanya kwa wiki mbili na usafiri wa bure.

Khanga na Tshirt labda ni ghali kwa Chadema kumudu. Lakini kofia wanagawa kama kawa, which means they are willing to but not able.

Kiufupi CCM ndio imetufikisha hapa!! na tumeichoka, ngoja tuwang'oe kwanza halafu ndi tuijenge tanzania tunayoitaka. Hata hao wamarekani unaowasema uksefu wa ajira ndio umepamba moto huk na madeni ndo hayashikiki.

Toa CCM kwenye ubongo wako na tutafika tu.

Rostam ameyarudia matapishi yake mwenyewe. Siasa uchwara amezisamehe.
mbona zitto aliweka wazi mapema sana kwenye tweeter yake kwamba angeelekea znz kufuatia janga la kitaifa lililo tokea znz, au kuna lakwako unatafuta kulipenyeza kupitia dirishani?umewasilisha umejibiwa, wahusika kunusuru server, naomba hii thread ipelekwe kunako
The oroijino Komedi mnajishushia hadhi yenu kwa kutumiwa hasi na CCM, jueni kwamba umaarufu wenu unashuka na kupoteza mvuto kwa wapenzi wenu kama ilivyokuwa zamani. Kaeni chini mtafakari kisha mjiulize ni Watanzania wangapi wanaichukia CCM kisha idadi hiyo mtoe kwenye hesabu yenu ya zamani kabla hamjachakachuliwa Chama Cha Mafisadi (The freedom is coming tomorrow)

Hilo nimeshalitolea ufafanuzi kwenye thread ya 'Rostam Aziz na siasa za uchwara'
Hizo ni baadhi ya picha ambazo zimepatikana leo katika uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM jimboIgunga.
View attachment 36963
Rais Mstaafu Ndg Benjamini Mkapa akimnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM Ndg Dr. Kafum.
View attachment 36965
Sehemu ya umati uliohudhuria mkutano huo.
View attachment 36966
Kama kawaida wasanii wa Original Komedi walikuwepo kusherekesha uinduzi huo.
View attachment 36967
Baadhi ya vijana wakirudisha kadi za CDM baada ya Mkapa kumwaga sumu.
View attachment 36968
Katibu mkuu Ndg Willson Mkama anaonekana akisisitza jambo katika uzinduzi huo. Awali ilidhaniwa asingehudhuria.
View attachment 36969
Hapo awali ilidhaniwa Rostam asingehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumtafuta mrithi wake, swali sijui siasa uchwara zilizomuondoa amezisamehe.
View attachment 36970
Rostam na Mkama wakionekana wakifuatilia kwa umakini uzinduzi huo, siasa kazi kweli kweli.
View attachment 36971
Bango hili mmmm utalisemea mwenyewe.
Magamba mna hali ngumu kama hali ndio hiyo manake mi naona mbuzi tu hapo wala si watu....yaani wamekata tamaa na bado wana hali ngumu sana kwa kweli.
Uwingi wa watu ni ishara kuwa ccm watashinda kwa ushindi wa kimbunga ccm oyeeeee

Asingehudhuria ccm wangemfungia biashara zake. Hata uraia nadhani ungekuwa mashakani. Inaonekana ameenda pale kulinda biashara zake.
MALORI Kama kawaidsa. CDM bila malori wa watu nyomi.
Well.. wapo wanaume watakaomchagua kama mke wake alivyomchagua hujaona wakipiga mavuvuzela na kushika mabango? Kama uko offended usimchague its as simple as that. Msamaha hupati.