Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama kura ya maoni ya online inaweza kuleta taswira ya matokeo ya Igunga kwasababu wapiga kura karibu wote SI wanaIgunga..........nasikia hata umeme hakuna
 
ILI UWE MWANA CCM LAZIMA UWE:
1. Mnafiki
2. Mwongo
3. Mbishi
4. Mzushi
5. Mwizi/mhujumu
6. Kigeugeu
8. Mfedhuli
9. Masikini sana
10. Tajiri sana
11. Easygoing
12. A person of double standard km RA
13. Msahaulivu nk.
 
hilo ni jimbo mmoja tu angalia utitili wa wazee wa ccm walivyokosa busara kumwangika kwa wingi Igunga sikutegemea kama CDM inawapeleka kiasi kama hicho 2015 itakuwale watakuwa wanapigaje kampeni kwa kuwa kila mmoja atakuwa yuko jimboni mwake. Ni balaa jingine
 
kwa nini kwenye ubunge tu ?bora turudishe system ya kichief au kifalme.utafurahi Jk akimrithisha Riz1 ukuu wa nchi?

kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense

hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????

unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?
 
<br />
<br />
Kwa mfano mwanaume na mwanamke wamefunga ndoa then wanapata watoto. Baada ya muda mwanamke anachoshwa na tabia za mumewe na hivyo analazimika kuachana naye. Swali: Je mwanamke hana haki ya kuwaona na kuwatembelea watoto wake na au hata kutoa msaada kwao? Ukijibu hapo utakuwa umeshapata jibu la kwanini Rostam yuko kwenye kampeni.

Mwita huu mfano wako tukitaka kuuweka katika mazingira ya Igunga ni sawa na huyo mwanamke aliyeachana na mume mwenye tabia mbaya kumsaidia mume huyo huyo kutongoza mwanamke mwingine ili aje kusaidia kulea watoto wake aliowaacha kwa mume mwenye tabia mbaya. Na kwa kufanya hivi mwanamke huyu ni wakuogopa kama ukoma maana ni mnafiki na asiyejali watoto wake mwenyewe.
 
Gharama unazozizungumzia ndio gharama za Demokrasia na kwa kawaida hazina short cut. Ni lazima tuendelee hivyo hivyo kwani waliochagua mwanzo ni wananchi na kwamba kiongozi aliyechaguliwa kupitia uchaguzi nafasi hiyo haiwezi kuwa ya uteuzi ni lazima taratibu zifuatwe.

Binafsi namuamini mpambanaji huyo (Halima Mdee) lakini kama ni kweli alisema hivyo na si kwamba amenukuliwa vibaya, hapa naona alichemka!
 
Mbunge Shibuda hivi karibuni bungeni Dodoma alifafanua itikadi za vyama vya siasa nchini kwa kuvichambua kama ifuatavyo, namnukuru> "CCM demokrasia pana, Chadema maslahi jamii na vyama vingine vilivyobaki ni SACOS". Kwa kauli hiyo ya Shibuda maana ya demokrasia pana ndani ya CCM inamaanisha usanii kama huu wa suala la kuvuana magamba na kuyarudia tena.
 
CCM wathibitisha ile methali " Baniani mbaya kiatu chake ni dawa" Poleni zenu wana Igunga mkikubali kurubuniwa. Ushauri wangu tu kwa wapiga kura wa Igunga " Hamuwezi kubadili yaliyopita lakini mnajua fika nini mfanye wakati huu na ujao!
 
kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense

hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje
???????

unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?
Muanzisha mada ungetusaidia kama ungetuambia hizo nchi nyingine wanafanyaje, japo bado sio kigezo kwamba kwa kuwa wao wanafanya hivyo nasi tufanye hivyo hivyo hata kama kwa taratibu zetu tunaona sivyo!
 
Kaongea pumba.

sio pumba....hata huko marekani hawarudii rudii chaguzi kwa staili yetu....

ni bora chama kinachoshika jimbo kifanye chaguzi ya ndani....au tuje na sysytem nyingine itakayokubalika.....

kuna system nyingi tu.....
 


Ubwabwa ni sera pekee ya CCM ambayo huwa wanaitekeleza kwa vitendo wako serious sana kwa uratibu makini wangekuwa wanafanya hivi kwenye umeme nadhani tanzania tungekuwa dunia ya pili.
 
watu walijaa kujakumwona aliyewaibia akiwa ikulu kwa kuanzisha kampuni magogoni, na wenginewalikujA kuwaona ZE KOMEDI
 
kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense

hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????

unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?
Mkuu punguza jaziba...mweleshe tu
 
Kwani ukiwa mwanachama wa chama fulani na ukasaidia chama chako basi na wewe ndio umekuwa mwanasiasa? Mbona nyie humu hatuwaiti wanasiasa bali ni washabiki wa chama. Yeye anatumika kama mnavyo tumika nyie kwenye vyama vyenu.
 
the boss, sounds sensible lakini inategemea na sababu ya uchaguzi mdogo. endapo ni kifo inawezekana kumpa 2nd runnerup wa uteuzi chamani.lakini kama ni issues ambazo zilisababisha wapiga kura kukosa imani na chama, ama mfumo mzima wa uchaguzi inaweza kutokuwa sawa sana kukwepa uchaguzi. kumbuka kuwa sio wanachama wenzie mbunge pekee wanaompigia kura, bali wanajimbo wote bila kujali sana itikadi zao za kisiasa wanaweza kumchagua mbunge kwa sababu wanaona anaweza kuwaongoza na kutatua matatizo yao sugu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom