Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,168
- 167
kwa nini kwenye ubunge tu ?bora turudishe system ya kichief au kifalme.utafurahi Jk akimrithisha Riz1 ukuu wa nchi?

Kwa mfano mwanaume na mwanamke wamefunga ndoa then wanapata watoto. Baada ya muda mwanamke anachoshwa na tabia za mumewe na hivyo analazimika kuachana naye. Swali: Je mwanamke hana haki ya kuwaona na kuwatembelea watoto wake na au hata kutoa msaada kwao? Ukijibu hapo utakuwa umeshapata jibu la kwanini Rostam yuko kwenye kampeni.

Hilo nimeshalitolea ufafanuzi kwenye thread ya 'Rostam Aziz na siasa za uchwara'
Muanzisha mada ungetusaidia kama ungetuambia hizo nchi nyingine wanafanyaje, japo bado sio kigezo kwamba kwa kuwa wao wanafanya hivyo nasi tufanye hivyo hivyo hata kama kwa taratibu zetu tunaona sivyo!kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense
hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????
unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?
Kaongea pumba.
Mkuu punguza jaziba...mweleshe tukama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense
hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????
unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?
sikukuelewa ndio maana nimekuuliza yale maswali ,sasa we badala ya kuyajibu unaniuliza swali au na wewe hujaelewa?kama hujaelewa uliza uelezwa sio kuropoka non sense
hivi ni nchi zote duniani zina chaguzi ndogo?
nchi zingine wanafanyaje???????
unafikiri demokrasia imeanzia kwetu sio?