Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.
You must be sick!
<br /><i><b><font size="3"><font color="#800080">Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.</font></font></b></i>
na CUF ikishinda zanzibar 2015 kuunda dola pamoja na CHADEMA utahamia wapi?CHADEMA ikishinda Igunga nahamia Zanzibar.
Hamia Libya kwa Gadaffi kumbuka misikiti yake Dodoma
Asante kwa mfano mzuri wenye kueleweka. Halafu nashauri tumpinge au tumunge mkono mtoa hoja kwa hoja si kwa hisia. Hakuna ambacho Chama cha magamba wataacha kufanya hata kama ni kumpa mtu anayewasumbua sumu ya panya.Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.
Am counting kuna mwingine simkumbuki yeye alisema atajinyonga.
Taja kabisa na jina lako.