nsimba
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 782
- 55
Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.
You are right. CDM, take precaution in any thing said!!! Be wise!