Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.



You are right. CDM, take precaution in any thing said!!! Be wise!
 
La msingi hapa nikwa wana Cdm kujipanga zaidi nakwa namna ccm wanavyojulikana kua ni mabingwa wa kutoa rushwa hili liko wazi na huyo Mwigulu umaarufu unakua zaidi kwa namna anavyojitahidi kuwanunua wapinzani kwa mbinu zake chafu kunuka,la msingi hapa wapenda maendeleo wote wa Igunga wanatakiwa watoe taarifa zozote zitakazoonekana zina dalili ya kutaka kuleta dhuluma dhidi ya cdm,ila lisemwalo lipo........
 
Ukweli ni kuwa wale trinity wanafanya kila liwezekanalo ili CCM ishindwe Igunga. Sababu? kwa mujibu wa mbunge mmoja mwandamizi wa CDM jamaa wamewafuata kutaka kuwaunga mkono lengo likiwa CCM ikishindwa itabidi iache mpango wa kuwafukuza EL,RA na AC kwa vile kutokana na kushindwa huko Igunga wataogopa kupoteza Monduli na Bariadi kwa kuwa kuwafukuza hao trinity itabidi chaguzi ndogo zije na huko.
 
Kwa hali ilivyo hata wachakachue vipi jimbo laenda chadema, dalili zote maana kura zitapigwa kwa haki
 
<i><b><font size="3"><font color="#800080">Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.</font></font></b></i>
<br />
<br />
Nakuunga mkono mkuu.
 
Wana chadema tunaomba viongoziwetu waliopo igunga wachukue kila taadhari nakwakila hatua jamani magamba si mchezo
 
ccm wakitaka waende igunga kiroho safi tu. Ujinga wowote watakaoufanya utakuwa ni chamvi mahali lilipotoka gamba. Tena gamba lenyewe limetoka na nyama
 
Dah! Hili sasa balaaa dah! Haijalishi hizi taarifa za ukweli au uongo ila ni muhimu chadema kufuatilia na kustuka sasa jinsi ya kukabiliana na hawa jamaa! Mungu tusaidie tumewachoka hawa Ccm jamani dah! Yani mi hadi nakuwa na hasira sasa yani sijui tufanyaje hawa ccm tuwaondoe mijitu mifisadi,haijali wengine alaf m2 mwingine unapewa kofia na t'sht unafurahi2.
 
Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.
Asante kwa mfano mzuri wenye kueleweka. Halafu nashauri tumpinge au tumunge mkono mtoa hoja kwa hoja si kwa hisia. Hakuna ambacho Chama cha magamba wataacha kufanya hata kama ni kumpa mtu anayewasumbua sumu ya panya.
 
Jamaa tusimdharau kwa kejeli na maneno ya kukatisha tamaa namna hiyo, mimi nilipita Igunga baada ya Rostam kujivua, watu wa Igunga wamefunguka ile mbaya na hawawezi kuichagua CCM kamwe na CCM wanalifahamu hilo.

Huyu bwana kaeleza kitu ambacho ndio ukweli huyu Bw Mwigulu kahamia Igunga siku nyingi anachokifanya kule tunajua, CCM ikishindwa Igunga ni kwamba imeshindwa kitaifa.

Naomba CHADEMA mjipange kila idara ninachoweza kuwahakikishia ni kwamba kila msaada mtakaouhitaji wanaIgunga watawapatia, kiundwe kikosi kazi chenye wanasheria wakutosha kihamie Igunga kiwe na mawasiliano ya mara kwa mara na makao makuu na kila siku ripoti itolewe kwa vyombo vya habari.

Mwizi kama huwezi kumkamata dawa yake ni kelele tu, mwiziiiiiiiii, mwiziiiiiiiiiiiii, mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................
na kwa taarifa yenu mwizi anaogopa kelele kuliko bunduki.

Nawasilisha.
 
ninaamini katika uwezo wa kiintelegensia ndani ya kmbi ya cdm, nw days hata vitu vinavyozungumzwa chumbani kwa jk wanavipta instantly, ndugu kuto igunga kasem na nyie ukweli mnufaham huko jimboni so fanyeni kila muwezalo kuhakikisha tunchukua jimbo then mbinu hizi zinakuwa mtaji wetu kuendelea kuwaonyesha watz uchafu wa magamba. "im waiting for a day when the prliament will mke a vote of no confidence to jk"
 
CHADEMA inatakiwa ichukulie hii taarifa kwa uzito na upana,msimtukane sana aliyeleta maada,mjumbe hauawi,cha muhimu cdm wajipange na kuwa tayar kwa chochote kitakacholeta uharamia wa kura.
 
Ninachoweza kuwashauri wana cdm, msidharau mawazo ya mtu yeyote. Hilo lmesemwa anzane kulifanyia kazi. Hata kama itakuwa si kweli hakuna tatizo. Kwa kupitia hili mnaweza pia mkagundua mengine mengi. Safari moja huanzisha nyingine. Nawatakieni kila la kher.
 
Karibu jamvini. Wewe zilete tu hapa jamvini, habari ikifika hapa ujue haipiti bila kufanyiwa kazi, ili mradi iwe ni ya kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom