Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
kama usiingejionesha kua mwana ccm, labda ningeshawishika lakini kwa kua umeonesha kabisa kua we ni mccm basi kaka
pole kwa propaganda za kizamani. ndo mlivyo lakini ccm uzamani umewajaa na hautaki kuwatoka!

Ndugu wana jamvi, huku Igunga hali ni tete kwa CDM, wamebaki kiutafuta watu vijiweni ili wajaze mkutano wao wa ufunguzi. Mgombea wao hana mvuto kwa wapiga kura, DR. Kafumu ushindani mdogo utatoka kwa mgombea wa CUF, lakini CDM mambo ni mazito, SERA zenu za kutamka POSHO hamtaki huku USIKU mkizichukua hazina tija kwa wapiga kura wa Igunga. Dr. Kafumu ni tunu kwa Igunga na kiashirio cha maendeleo ya IGUNGA.

Nipo hapa Igunga madukani muda huu, CDM kwisha kazi pamoja na matangazo ya magari juu ya ufunguzi wao leo, mwitikio ni mdogo sana! Poleni wana CDM Igunga na Arusha sehemu mbili tofauti, Huku Igunga hakuna vijana wa kuleta fujo ambao huwa wanajaza maandamano yenu na mikutano.

Mafilili au mafilifili? Siku zote majina huwa yanasadifu kufikiri kwa mtu/tabia

Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.
Ni akili yako tu ndiyo imekutuma kumfikiria hivyo, mbona hakuna tatizo, kwani kuvaa suti ndiyo kuwa na akili timamu??? mcheki mtikila sasa!!

mhhhhhhhhhhhhhhh........................nackia kizunguzunguzunguzungzuzngu

Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.
picha plz

Pro-CDM-JF. mapenzi yamewajaa sana mpaka mnashindwa kupambanua mambo, baada ya uchaguzi wa Igunga ndio mtaikubali hii habari

Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo basi, tunadhani ni wakati muafaka sasa kwa majukwaa mengi ya maoni changanuo, kama JF kuwa na threads kutoka kwa wazalendo wanaojulikana.. Nikimaanisha kila anayediriki kutoa maoni yake kwa jamii ya watanzania na nyinginezo, kuwe na ratibio (conditions) zitazomlazimu kuonyesha ama facebook page yake, blogs, twitter au tovuti yake, kiasi kwamba kila asomae threads zake, awe na uwezo wa kutembelea kurasa zake nyingine mtandaoni. hii itaondoa kero ya mara kwa mara kwa wachangiaji wa maada na wasomaji. Kuna wale ambao hujisajili mara moja tu kwenye majukwaa haya, na kutoa maoni yao, ama uongo, ama sumu, ama hoja zisizo stahimiliki. Hii itatunza heshima za majukwaa yetu haya ya maoni na kuwa kambi za watu makini na si kambi za mchanganyiko wa watu makini, wachafuzi, waharibifu, wasumbufu na maholela.

Nimejaribu kupiga simu Makao Makuu ya CDM, imepokelewa na sauti ya kiume nimeuliza kuhusu hizo habari za kukorofishana, hakuna aliyekuwa tayari kuweka wazi hilo suala kwa kuhofia kuchukuliwa hatua na viongozi wa juu wa CDM, na Mwenyekiti Mbowe, au Katibu Mkuu, Dr Slaa​

• .sasa waongee kwani wao ni wasemaji wa chama?

Mkuu, kama una namba ya simu ya Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Taifa, Erasto Tumbo, muulize kwa nini alilazimika kuliondoa jina lake dakika za mwisho?

Mkubwa acha kupotosha juu ya Erasto Tumbo kutopendekezwa kugombea huko Igunga, makao makuu walitoa taarifa na ni wao ndio waliomshauri kuondoa jina lake ili kuondoa dhana ya kuwa ni mgombea aliyeletwa na makao makuu na hivyo kulikuwa na uwezekano wa kukosa support ya kutosha huko Igunga. hebu angalia busara hiyo sio magamba nyie mnapeleka afisa wa wizara miaka yote yuko Dar hata familia yake haijui Kinyamwezi!

Kana kwamba haitoshi, hatua ya Makao Makuu ya CDM Jijini Dar es Salaam kumteua Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa Taifa wa CDM, Mwita Mwikwabe Waitara kwenda Igunga kusimamia hatua zote za kumpata mgombea ubunge wa chama hicho, nalo ni jambo jingine lililoelezwa kuwa limesababisha pande hizo mbili kukorofisha sana
Wewe huna tofauti na hawa hapa kwa tabia, dereva wa Jairo (kama CCM vile) kakanyaga breki wao wanasukuma kwa shangwe na gari haliendi.
View attachment 36804

Kanyasu, unajua tatizo la Pro-CDM-JF, wao kila siku wanataka habari ya kuisifia CDM tu kila wakati

Sio za kusifia cdm. Tunataka habari za kweli na uhakika na sio huu upuuzi unaotuandikia hapa. We're great thinker. We dont have time to think on the planted stories while our economy and country is getting down every second b/se of an idiot & stupid guy u call him dad!

huku kwa kweli watu hawajajitokeza sana kwenye maandamano, japokuwa kuna watu waliletwa na bus kama 3 tatu kutoka meatu lakini wenyeji hawajajitokeza sana tusubiri mkutanoni.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom