Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Kama ungekuwa mwana Igunga kura yako ungempa nani?

Leopold Mahona (CUF) 3% ;

Joseph Kashindye (CHADEMA) 87% ;

Peter Kafumu (CCM) 7% ;

Said Makeni (DP) 0% ;

Lazaro Ndageya (UMD) 0%;

John Maguma (SAU) 1%
 
ccm wamepelekamtua mbaye si mkaazi wa igunga sasa wameona cdm imelenga kwenye tundu wanaanza kuleta porojo zao.
ritz kipindi hiki cha kampeni nakushauri ubadili id ili hela ya nape iende kihalali.
tofauti na hapo hata ukileta ya ukweli hapa itakataliwa kwani umezoea uongo ili kujipatia rizki.
mtume katika hadithi zake amemharamisha yule nanyejipatia riziki kwa kutumia maneno ya uongo.
ngalia nape atakuponza na vielfu mbili vyake.
 
Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.

Inawezekana ndio uniform mpya ya CUF au ya Mtatori kwa ajili ya kampeni yao ya Igunga. Ni sawa tu na waCHADEMA wanaovaa combat baadhi ya watu wanawaona kama vile vichwani mwao kuna walakini.
 
Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.

Pamoja na kwamba mi ni mshabiki na mpenzi mkubwa wa CDM lakini sioni tatizo katika hilo. Mtatiro ni kiongozi mzuri, kakisaidia sana chama chake kuinuka katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Kuhusu suala la mavazi, hiyo ni kawaida yake na haiondoi uwezo wake wa kufanya kazi. Hebu waangalie MAGAMBA wanaulamba suti kali na za gharama, afu linganisha na utendaji wao wa kazi. Suala la mavazi sio la msingi kuliko kuchapa kazi.
 
Miaka hii tunayoitazama mbele yetu, ni miaka makini kwa watu makini . Wakati ambao nchi tulizoziita zimeendelea, leo hii wamenasa kwenye mtego wa kutokujua "what next." ni nafasi pekee kwa nchi za Kiafrika sasa, kupenya na Kuongoza mapinduzi ya sayansi, uchumi na siasa za Ulimwengu. Kwa hiyo basi, tunadhani ni wakati muafaka sasa kwa majukwaa mengi ya maoni changanuo, kama JF kuwa na threads kutoka kwa wazalendo wanaojulikana.. Nikimaanisha kila anayediriki kutoa maoni yake kwa jamii ya watanzania na nyinginezo, kuwe na ratibio (conditions) zitazomlazimu kuonyesha ama facebook page yake, blogs, twitter au tovuti yake, kiasi kwamba kila asomae threads zake, awe na uwezo wa kutembelea kurasa zake nyingine mtandaoni. hii itaondoa kero ya mara kwa mara kwa wachangiaji wa maada na wasomaji. Kuna wale ambao hujisajili mara moja tu kwenye majukwaa haya, na kutoa maoni yao, ama uongo, ama sumu, ama hoja zisizo stahimiliki. Hii itatunza heshima za majukwaa yetu haya ya maoni na kuwa kambi za watu makini na si kambi za mchanganyiko wa watu makini, wachafuzi, waharibifu, wasumbufu na maholela.
 
huku kwa kweli watu hawajajitokeza sana kwenye maandamano, japokuwa kuna watu waliletwa na bus kama 3 tatu kutoka meatu lakini wenyeji hawajajitokeza sana tusubiri mkutanoni.
Mkuu, vipi zile Fuso za CDM zimeishafika kutoka Moshi zilikwenda kusomba watu?
 
Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.
mkuu ungetupia na picha ili kusapoti maneno yako ingekuwa bomba zaidi maana kwa sisi tuliombali na igunga ndio itakuwa poa zaidi..
ila mkuu kazi nzuri kwa kutujuza..
 
Nipo igunga,kapita hapa nilipo watu wengi tayari wako kwenye maandamano ya chadema.amevaa kapelo,kaosh na kaptula utadhani mhuni fulani pale tandale.ni wazi cuf inaonekana kulemewa.sasa sijui amekuwa baunsa wa cuf? Au ndo anajifanya kukusanya taarifa? Ni kama ana kiwewe hivi.au kachanganyikiwa? Mana haingii akilini kiongozi wa taifa kama yeye kuapear hivyo.aliyeongea naye karibuni atuambie kama huyu mtu mzima.

Mtatiro hajachanganyikiwa ndugu inawezekana kabisa ni uniform yake rasmi kwa ajili ya kampeni za Igunga. Ni vyema ungemuuliza yeye mwenyewe ili kujua mantiki ya yeye kuvaa hivyo. Anachofanya ni hakina tofauti na wa CHADEMA walioamua kufanya kombat kuwa vazi lao kuu la harakati. Kuna baadhi ya watu wanawaona CHADEMA wana walakini vichwani mwao kwa sababu tu ya kuvaa kombati.
 
Hii bado haitoi taswira ya ushindi kwa CDM, kazi bado tunayo ingawa tuna nafasi kubwa sana ya ushindi. Tukifanya hivyo, basi hata gazeti la RAI litakua sahihi.
 
HATA WASIOMJUA Ritz lazma watajua imekaa karibu na Rizi1
 
Hapo ni Rostam Aziz na Kikwete, wamiliki wa gazeti hili lililowahi kuwa na heshma katika jamii yetu - RAI, wanatuandikia mawazo yao na kuyabatiza TATHMINI. tamu hilo!!!!!!

Gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Aziz limetoa matokeo ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti hilo huko Igunga.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo mgombea wa ccm peter kafumu anatarajiwa kushinda kwa asilimia 44, mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye atakuwa wa pili kwa asilimia 36, mgombea wa CUF Leopold mahona atakuwa wa 3 kwa asilimia 11 huku asilimia 9 kati ya waliohojiwa wakiwa hawajaamua.

Utafiti huo unadai matokeo ya mwisho hayatatofautiana sana na hayo.
 
Jamani mliopo kwenye uzinduzi wa kampeni za Chadema hapo Igunga mtujuze yanayoendelea hapo na msisahau na picha tunahamu kujua yanayojili huko kitengo cha habari cha Chadema muwe sharp basi jamani kutupa taarifa.
 
Anachojaribu ni kusema hata viongozi wa CUF wanavaa kama wana igunga, hiyi njia rahisi kwa CUF kuomba kura.
 
hiyo ni uniform mpya ya CUF .....watakuja kuitangaza soon ..
 
Kama una amini kazi yao sawa, nakubaliana nawe kuwa kuna margin ya 9 ambayo inaweza kunyanyua 36 kuwa 45!

Wasiwasi wangu ni kuwa wanataka kuiba kura na hivyo wana weka mpango hewani ili baadae waseme hata kura za maoni zilionyesha hivyo hivyo!
huu utakuwa ujinga sasa kama tutawaacha watuibie kura wakati makamda wote wata kuwa igunga...hii sababu sitaki kuisikia kabisa kuna makamanda Musoma, Arusha na Mbeya wako tayari kwenda kusimamia kura bila malipo yoyote tuwatumie...kama madiwani hawatatosha kusimamia....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom