Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
I have an upmost honour and huge respect of Regia Mtema but this uncorroborative story of yours has completely changed my perception on you. I did not expect that you would be whiddled into foul politicking and spread of calumnies given the fact that you sneaked into the parliament through special seats! Your malevolence will not gain you any lucre more than seeing your reputation waned before the eyes of hoi polloi.
Unamchukia kwa kuleta video au una jingine nafikiri hizo ni bifu zako za zamani.
 
Niambieni wadau,ni kweli ze komedi walikuwepo Igunga? Tafadhari sana maana sina habari!
 
ccm inageuka haramu taratibu. Chini ya nape na jk inchi imekuwa kama kampuni linalomilikiwa na ndgu wawili wenye kupenda heshima na hawawaheshimu wafanyakazi wao. Tindikali usoni!!! God forbid
 
Hizo ni propaganda tu za gazeti la UHURU ! kwa mtaji wa wali sidhani kama ccm ina la kujivunia! hii ni kuwapuuza wananchi unapowaita na kuwapa wali kwenye mkutano wa hadhara!
 
Thanx mwana JFs kw kutuletea habar hiyo nzuri, but mngeupeleka ushahidi Police kw hatua zaidi....,
safari imeanza ya kuusaka ushindi, CDM kuweni mfano wa kuigwa....,

wana Igunga wanapata chance ya kuijua Govt ya CCM inavyoendesha siasa chafu hapa bongo.
 
Kwani aliyemwagiwa Tindikali amekufa mpaka asemewe na kijana wa kijiweni? Kama ni suala la kudai tu, unaweza kudai hata anayeongea naye kapewa pesa. Ningeweza kumuamini japo kidogo kama angewataja kwa majina wale waliohusika, na sio hii habari ya kusuka suka. Mh, huyu kweli ni mbunge wa kuleta ushaidi huu wa KISHERIA kwa members zaidi ya elfu 50 wa JF na bado ategemewe kutunga sheria bungeni. Ama kweli ushabiki utatupeleka pabaya
 
Haya ni maneno ya Nape kwenye Facebook:

Nape Nnauye


.....Maneno ya Dr.feki aliyesoma Italy na kujifunza vizuri juu ya Redbriged ukiyasikia na kumwangalia muathirika, utashangaa kama anayesema ni binadamu....!!!!
ngoshwe maneno ya nape ni yapi akaunti yake haifunguki.
 
nakushukuru ndugu, kwa sasa kapelekwa nani au nape bado ana ajila mbili?
Wakuu wa wilaya na wa mikoa hawana kazi yoyote ndio maana mpaka leo Dar es salaam haina mkuu wa mkoa, Nape tangu alipoteuliwa kuwa Al Sahaf wa ccm basi ndio ukuu wa wilaya uliishia pale.
Kwahiyo kwa kujibu swali lako hakuna athari yoyote ile kwa Nafasi ya Nape kutokujazwa kule masasi. sana sana tumshukuru Rais kwa kutupunguzia mzigo wa kuwalipa mishahara watu ambao hata haieleweki wana kazi gani.
 
Walioenda kufata pilau, soda ,tshirt na kanga .... Wengine huwa hawana hata tv walipo sikia masanja yupo aaaa bwana kwanini nisiwaone the comedy but sio ccm
 
NINACHOFAHAMU wajinga na wezi bado wanaiunga mkono CCM.
NISICHOFAMU wajinga na wezi nchini wako wangapi.
 
Watu bana, mnatokwa mapoooooovu!! Tusubiri uhalisia, matokeo ya kwenye mi-blogu haiwakilishi nzega!!!

Ninachoamini lazima mpambano utakuwa mkali sana!!!
 
Mkuu usipoteze energy yako kulijibu jitu zuzu na mbumbumbu wa kutupwa, watu kama hawa hawakupaswa kuwa na "(ubomgo)" kwani uti wa mgongo tu "(ungaliwatosha,)" maana kazi ya ubongo ni kufikiri vizuri
Ungaliwatosha, Ubomgo!! Teh teh the..Ahahahaha!
Shule za kata at work
 
Mwisho wa ubaya ni Aibu, yaani tunaumizana wenye kwa wenyewe? Inasikitisha sana, Mtanzania amka na utambue uthamani wako sio vijisent vidogo ndio unawazima wenzako. Malipo yote ni hapa hapa Duniani.
 
watu wasingejaa tungeshaa mno kwa sababu;
  • walitolewa sehemu kenda tour bure
  • wengi hawajahi kuwaona ze komedy live
  • watu wengi mkapa walikuwa wanamsikia tu hivyo walikwenda kuona live
  • walifuata kanga kofia tshirt za bure ili wageuzwe mabango ya chama pasipo kujijua
  • njaa baba walifuata msosi mbadala baada ya hotuba kuisha
  • ilikuwa weekend wangenda wapi kama si huko kushangaa
kumbuka kuwa kila sehemu lazima wajaze watu lakini mwisho wa siku wanaambulia aibu na kuwapiga watu mabomu baada ya kuchelewesha matokeo kwa makusudi mazima
mwisho ulitegemea UHURU, MZALENDO, HABARI LEO, JAMBO LEO, TAZAMA waandike nini
 
Unamchukia kwa kuleta video au una jingine nafikiri hizo ni bifu zako za zamani.
Huyo ni Mwita25 anaogopa kuingia kwa ile ID yake maana magamba wote leo aibu, kwanza wamefanya uzinduzi jumamosi huku wakijuwa Taifa lina msiba mkubwa, kweli nimeamini mungu akitaka kuziondowa tawala za kidikteta basi uzinyima maono.
Waliobaki CCM ni wale wenye maslahi na misukule inayotumiwa bila kujijuwa.
 
Thanx mwana JFs kw kutuletea habar hiyo nzuri, but mngeupeleka ushahidi Police kw hatua zaidi....,
safari imeanza ya kuusaka ushindi, CDM kuweni mfano wa kuigwa....

wana Igunga wanapata chance ya kuijua Govt ya CCM inavyoendesha siasa chafu hapa bongo.
kama wamefungua kesi zidi ya CHADEMA waupeleke mahakamani lakini ukiupeleka polisi ujue na kesi inaishia hapo hapo...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom