Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Mie nawaomba watu wa Igunga, wachukue mahindi na siku ikifika wao ndio waamuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Watanzania wengi hawana uelewa kama wa kwako. Wengine wanapogawiwa mahindi ndio wanaona kwamba huyo anayewagawia ndiye chaguo la Mungu na ametumwa kuja kuwakomboa, Hawana uwezo wa kujiuliza kwamba muda wote walikuwa wapi mpaka ifike kipindi cha kampeni ndio wagawe hayo mahindi!Mie nawaomba watu wa Igunga, wachukue mahindi na siku ikifika wao ndio waamuzi.
Naomba nikuwekee maneno mdomoni Mkuu. Yaani siku ikifika wawapige chini ccm, wachague chama kingine. Shida ya njaa ilikuwepo siku nyingi kwanini hawakugawa hayo mahindi. Hiyo ni rushwa moja kwa moja, inabidi tuwahurumie PCCB kwakuwa mazingira yao ya kazi ndo hayo sasa. Kiongozi ambaye PCCB inawajibika kwake (Kikwete) ndio kabariki kugawa rushwa, unless ajitokeze Kikwete (kama anaweza lakini), akanushe maneno yaliyotamkwa na mtangulizi wake (Che Nkapa). Binafsi naamini kinachofanywa na ccm Igunga kina baraka zote za Kikwete (M/kiti).Mie nawaomba watu wa Igunga, wachukue mahindi na siku ikifika wao ndio waamuzi.
lakini kampeni zikiisha hiyo takrima itageuka msiba...ni takrima sio rushwa