Ikiwa ni takribani wiki moja baada ya vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea ubunge jimbo la Igunga, Mkoani Tabora kuanza kampeni zake.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuonja joto la kampeni baada ya wananchi wa jimbo hilo kuonyesha dhahiri kwamba ni bora kulipigia kura jiwe kuliko mgombea wa CDM, Joseph Kashindye, baadhi ya wana Igunga wakiwaambia wenzao CDM ni chama cha watu wa kaskazini sio cha wana Igunga CDM kila mwezi kinapata ruzuku milioni 300 niambieni hapa ni lini ofisi yenu ya wilaya imewahi kupatiwa fedha za kuendesha ofisi au hata kuwalipa posho viongozi wenu?
Kujitokeza kwa Rostam Azizi, gamba kuu la CCM, ndio limetibua kila kitu cha CDM mashabiki wa Magamba wamembana Dr Slaa, na Tindu Lissu, walete uthibitisho wa ufisadi wa Rostam Azizi waliosema pale viwanja vya Mwembe Yanga mwaka 2007.
Gamba kuu Rostam Azizi katibua matumaini yetu alisema kada mmoja wa CDM kutoka Moshi, kuna uwezekano mgombea wa CDM Joseph Kashindye, kugawana kura na wagombea wa AFP Staven Making na SAU john Maguna.
Jana CUF kwenye mkutano wao ndio wametibua kabisa kila kitu kutoka hali ni ngumu alisema mwana CDM aliepo hapa Igunga akitokea Kilimanjaro