Wewe unaelewa sasa kinachoendelea humu? Kwanza ulizwa kuleta vifaa vya TV station zenu umeishia mitini. Sasa hivi unalialia kama katoto kadogo. Leta picha za TV stations zenu.We huelewi mada tunaongelea hapa......tunasema Azam iko Kenya but hautambuliwi juu hawafanyi adverts na promotions ata Bamba TV in more popular ju wanachapa adverts kibao na wanadunga ma promo Kali Kali msee.
That's why you'll find Kenyan,Nigerian,southAfrican and Ghanaian adverts in Dstv huwezi pata ya majirani wetu maskiniAta mnajua kua DSTV subscription Kenya pekee in more than TZ+UG+Rwanda combined...now you know
TV stations unazijua Luna over 60 TV channels in Nairobi...unajua Citizen,Ntv , KTN na K24 but kuna mingi kuanza kupost mapicha hapa in kuwaste time mingiWewe unaelewa sasa kinachoendelea humu? Kwanza ulizwa kuleta vifaa vya TV station zenu umeishia mitini. Sasa hivi unalialia kama katoto kadogo. Leta picha za TV stations zenu.
Because we use local providers. Au hujui wewe? Unajua Tanzania wepo na providers wangapi?Ata mnajua kua DSTV subscription Kenya pekee in more than TZ+UG+Rwanda combined...now you know
Nasema wewe unachekesha sana. Tatizo lako umekosa exposure yaani unadhani hapo ulipo ndio kila kitu. Toka kidogo acha kujifungia.TV stations unazijua Luna over 60 TV channels in Nairobi...unajua Citizen,Ntv , KTN na K24 but kuna mingi kuanza kupost mapicha hapa in kuwaste time mingi
Dstv ni the only satellite TV kuonyesha EPl na ina supersport zote...so nyinyi hamu watch EPL?Because we use local providers. Au hujui wewe? Unajua Tanzania wepo na providers wangapi?
I know dar slum very well outside the cbd there's nothing worth mentioning...Nasema wewe unachekesha sana. Tatizo lako umekosa exposure yaani unadhani hapo ulipo ndio kila kitu. Toka kidogo acha kujifungia.
Sasa wewe jamaa ni waajabu sana. Nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Unadhani watanzania wote wanapenda EPL!? Wale wanaopenda wapo na DSTV na huenda wapo na Decoder aina mbili. Local Decoder na hiyo DSTV. Kwa hiyo Siyo kila anayekuwa na Decoder lengo lake ni kuangalia EPL. Ondoa ushamba bana, unajidhalilisha.Dstv ni the only satellite TV kuonyesha EPl na ina supersport zote...so nyinyi hamu watch EPL?
Nasema wewe unachekesha sana. Tatizo lako umekosa exposure yaani unadhani hapo ulipo ndio kila kitu. Toka kidogo acha kujifungia.
Ndio maana mko chini hamjachanuka nyinyi...EPL is the most popular league World wide and that shows why nyinyi bado LDC besides EPL kuna mnet movies etc DSTV is first class dude.Sasa wewe jamaa ni waajabu sana. Nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Unadhani watanzania wote wanapenda EPL!? Wale wanaopenda wapo na DSTV na huenda wapo na Decoder aina mbili. Local Decoder na hiyo DSTV. Kwa hiyo Siyo kila anayekuwa na Decoder lengo lake ni kuangalia EPL. Ondoa ushamba bana, unajidhalilisha.
Mbona umeanza kuruka ruka kama kichaa. Achakupoteza mada. Comment kama unaakili timamu. Tunaongelea AZAM TV hapa. Sasa leta vifaa vya TV station za Kenya.I know dar slum very well outside the cbd there's nothing worth mentioning...
Na so EPL pekee kuna rugby,tennis,cricket,moto Gp etc..Sasa wewe jamaa ni waajabu sana. Nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Unadhani watanzania wote wanapenda EPL!? Wale wanaopenda wapo na DSTV na huenda wapo na Decoder aina mbili. Local Decoder na hiyo DSTV. Kwa hiyo Siyo kila anayekuwa na Decoder lengo lake ni kuangalia EPL. Ondoa ushamba bana, unajidhalilisha.
Tatizo lako ni ufinyu wa mawazo. Siyo kila mtu yupo na interest kama zako. Na unaposema Subscribers wa kenya ni wengi kwa record ipi?Ndio maana mko chini hamjachanuka nyinyi...EPL is the most popular league World wide and that shows why nyinyi bado LDC besides EPL kuna mnet movies etc DSTV is first class dude.
Azam haitambuliwi...period...kwani unataka niseme inatambuliwa ndio ufurahie...the only Tanzanian product najua Kenya in konyangi na in low quality
punguza povu Collins. nini mbaya?Ata mnajua kua DSTV subscription Kenya pekee in more than TZ+UG+Rwanda combined...now you know
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Wewe unaelewa sasa kinachoendelea humu? Kwanza ulizwa kuleta vifaa vya TV station zenu umeishia mitini. Sasa hivi unalialia kama katoto kadogo. Leta picha za TV stations zenu.
Nimesema wewe unaufinyu wa exposure. Soyo kila mtu yupo interested na Sport. Wengine interest zao ni News. Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kuwaza unadhani kila mmoja anapenda unachopenda wengine wanapenda maigizo ya Kitanzania, Wengine wanapenda Music, Wangine wanapenda Fashion Shows, Wengine wanapeda michezo ya WWE, Wengine wanapenda Movies za kichina, Wengine wanapenda TV station za kidini.Na so EPL pekee kuna rugby,tennis,cricket,moto Gp etc..
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sasa wewe jamaa ni waajabu sana. Nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Unadhani watanzania wote wanapenda EPL!? Wale wanaopenda wapo na DSTV na huenda wapo na Decoder aina mbili. Local Decoder na hiyo DSTV. Kwa hiyo Siyo kila anayekuwa na Decoder lengo lake ni kuangalia EPL. Ondoa ushamba bana, unajidhalilisha.
Exposure ndio?? Ebu google DSTV iko na hizo music kuna Trace,BET. etc hio iko Azam? Alafu kama watanzania wengi hawafuatj EPL iyo inaonyesha vile mko down mseeNimesema wewe unaufinyu wa exposure. Soyo kila mtu yupo interested na Sport. Wengine interest zao ni News. Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kuwaza unadhani kila mmoja anapenda unachopenda wengine wanapenda maigizo ya Kitanzania, Wengine wanapenda Music, Wangine wanapenda Fashion Shows, Wengine wanapeda michezo ya WWE, Wengine wanapenda Movies za kichina, Wengine wanapenda TV station za kidini.
Kwahiyo ninakuona kama punguani kwa kudhani wakenya wote 44ML wanapenda EPL. Ni ushamba wa hali ya juu sana. Wewe jamaa ni mshamba sana.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimesema wewe unaufinyu wa exposure. Soyo kila mtu yupo interested na Sport. Wengine interest zao ni News. Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kuwaza unadhani kila mmoja anapenda unachopenda wengine wanapenda maigizo ya Kitanzania, Wengine wanapenda Music, Wangine wanapenda Fashion Shows, Wengine wanapeda michezo ya WWE, Wengine wanapenda Movies za kichina, Wengine wanapenda TV station za kidini.
Kwahiyo ninakuona kama punguani kwa kudhani wakenya wote 44ML wanapenda EPL. Ni ushamba wa hali ya juu sana. Wewe jamaa ni mshamba sana.