Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

We huelewi mada tunaongelea hapa......tunasema Azam iko Kenya but hautambuliwi juu hawafanyi adverts na promotions ata Bamba TV in more popular ju wanachapa adverts kibao na wanadunga ma promo Kali Kali msee.
Wewe unaelewa sasa kinachoendelea humu? Kwanza ulizwa kuleta vifaa vya TV station zenu umeishia mitini. Sasa hivi unalialia kama katoto kadogo. Leta picha za TV stations zenu.
 
TV stations unazijua Luna over 60 TV channels in Nairobi...unajua Citizen,Ntv , KTN na K24 but kuna mingi kuanza kupost mapicha hapa in kuwaste time mingi
 
Nasema wewe unachekesha sana. Tatizo lako umekosa exposure yaani unadhani hapo ulipo ndio kila kitu. Toka kidogo acha kujifungia.
 
I know dar slum very well outside the cbd there's nothing worth mentioning...
e449699144e9655e85d3bd31e2c17335.jpg
 
Dstv ni the only satellite TV kuonyesha EPl na ina supersport zote...so nyinyi hamu watch EPL?
Sasa wewe jamaa ni waajabu sana. Nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Unadhani watanzania wote wanapenda EPL!? Wale wanaopenda wapo na DSTV na huenda wapo na Decoder aina mbili. Local Decoder na hiyo DSTV. Kwa hiyo Siyo kila anayekuwa na Decoder lengo lake ni kuangalia EPL. Ondoa ushamba bana, unajidhalilisha.
 
Ndio maana mko chini hamjachanuka nyinyi...EPL is the most popular league World wide and that shows why nyinyi bado LDC besides EPL kuna mnet movies etc DSTV is first class dude.
 
I know dar slum very well outside the cbd there's nothing worth mentioning...
e449699144e9655e85d3bd31e2c17335.jpg
Mbona umeanza kuruka ruka kama kichaa. Achakupoteza mada. Comment kama unaakili timamu. Tunaongelea AZAM TV hapa. Sasa leta vifaa vya TV station za Kenya.
 
Sasa wewe jamaa ni waajabu sana. Nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Unadhani watanzania wote wanapenda EPL!? Wale wanaopenda wapo na DSTV na huenda wapo na Decoder aina mbili. Local Decoder na hiyo DSTV. Kwa hiyo Siyo kila anayekuwa na Decoder lengo lake ni kuangalia EPL. Ondoa ushamba bana, unajidhalilisha.
Na so EPL pekee kuna rugby,tennis,cricket,moto Gp etc..
 
Ndio maana mko chini hamjachanuka nyinyi...EPL is the most popular league World wide and that shows why nyinyi bado LDC besides EPL kuna mnet movies etc DSTV is first class dude.
Tatizo lako ni ufinyu wa mawazo. Siyo kila mtu yupo na interest kama zako. Na unaposema Subscribers wa kenya ni wengi kwa record ipi?
Leta references hizo ili tuone unaloongea kama ni kweli. By the way local providers kwetu wanafanya vizuri.
 
Azam haitambuliwi...period...kwani unataka niseme inatambuliwa ndio ufurahie...the only Tanzanian product najua Kenya in konyangi na in low quality

Ata mnajua kua DSTV subscription Kenya pekee in more than TZ+UG+Rwanda combined...now you know
punguza povu Collins. nini mbaya?
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
4e66329483ebbec076537a4a0246572f.jpg
8ae0cd0e53da1da10a3da64c934d8133.jpg
35b26c6d73290a607e7dd913cf280443.jpg
 
Wewe unaelewa sasa kinachoendelea humu? Kwanza ulizwa kuleta vifaa vya TV station zenu umeishia mitini. Sasa hivi unalialia kama katoto kadogo. Leta picha za TV stations zenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Na so EPL pekee kuna rugby,tennis,cricket,moto Gp etc..
Nimesema wewe unaufinyu wa exposure. Soyo kila mtu yupo interested na Sport. Wengine interest zao ni News. Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kuwaza unadhani kila mmoja anapenda unachopenda wengine wanapenda maigizo ya Kitanzania, Wengine wanapenda Music, Wangine wanapenda Fashion Shows, Wengine wanapeda michezo ya WWE, Wengine wanapenda Movies za kichina, Wengine wanapenda TV station za kidini.

Kwahiyo ninakuona kama punguani kwa kudhani wakenya wote 44ML wanapenda EPL. Ni ushamba wa hali ya juu sana. Wewe jamaa ni mshamba sana.
 
Sasa wewe jamaa ni waajabu sana. Nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Unadhani watanzania wote wanapenda EPL!? Wale wanaopenda wapo na DSTV na huenda wapo na Decoder aina mbili. Local Decoder na hiyo DSTV. Kwa hiyo Siyo kila anayekuwa na Decoder lengo lake ni kuangalia EPL. Ondoa ushamba bana, unajidhalilisha.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nimesema wewe unaufinyu wa exposure. Soyo kila mtu yupo interested na Sport. Wengine interest zao ni News. Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kuwaza unadhani kila mmoja anapenda unachopenda wengine wanapenda maigizo ya Kitanzania, Wengine wanapenda Music, Wangine wanapenda Fashion Shows, Wengine wanapeda michezo ya WWE, Wengine wanapenda Movies za kichina, Wengine wanapenda TV station za kidini.

Kwahiyo ninakuona kama punguani kwa kudhani wakenya wote 44ML wanapenda EPL. Ni ushamba wa hali ya juu sana. Wewe jamaa ni mshamba sana.
Exposure ndio?? Ebu google DSTV iko na hizo music kuna Trace,BET. etc hio iko Azam? Alafu kama watanzania wengi hawafuatj EPL iyo inaonyesha vile mko down msee
 
Ndio maana mko chini hamjachanuka nyinyi...EPL is the most popular league World wide and that shows why nyinyi bado LDC besides EPL kuna mnet movies etc DSTV is first class dude.
it's shame to brag about a thing you don't own.
3ffb50fbf117d0a4efb211bb6aafd896.jpg
666a4a4af25cc278e69c8b5315d5a6bf.jpg
 
Back
Top Bottom