Nimesema wewe unaufinyu wa exposure. Soyo kila mtu yupo interested na Sport. Wengine interest zao ni News. Kwahiyo kwa ufinyu wako wa kuwaza unadhani kila mmoja anapenda unachopenda wengine wanapenda maigizo ya Kitanzania, Wengine wanapenda Music, Wangine wanapenda Fashion Shows, Wengine wanapeda michezo ya WWE, Wengine wanapenda Movies za kichina, Wengine wanapenda TV station za kidini.
Kwahiyo ninakuona kama punguani kwa kudhani wakenya wote 44ML wanapenda EPL. Ni ushamba wa hali ya juu sana. Wewe jamaa ni mshamba sana.