Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo


halafu wewe wanjala nina wasiwasi una asili ya tz maana sometimes maneno yako hayafanani na maneno ya wakenya ninaowafahamu.

hata hilo jina lako(wanjala)lina asili ya tz.embu uliza vizuri wazazi wako.
 
uko off topic my friend. nilidhani we ni bingwa kumbe nilikuwa nakosea. we ndio Zuzu kabisa! zuzu la kutupwa kwenye barabara ya reli. copy paste ii takataka umeleta apa utengeneze uzi mwingine.
Zuzu.

Uchaguzi wenu Kenya unaenda kikabila, Vyama vya siasa pia vinaegemea sana ukabila, pia Wazee maarufu (wa-Makabila) wa Kenya wanakuwa wasemaji wakuu wa makabila yao, mfano Mzee wa '' wa-Luhya, wa-Kamba n.k'' bila kusahau muungano wa kikabila wa GEMA (toka maeneo ya Gikuyu, Embu, Meru, Akamba) n.k hivyo suala hili lipo pia wakati wa Uchaguzi, na mgeni toka nchi jirani ili kuweza kuelewa vizuri siasa za Kenya zinafuata mkondo gani ni muhimu kutoacha ''nafasi muhimu'' ya ukabila ktk siasa za Kenya.

Kamba elders now ask ODM leader Raila Odinga to support Kalonzo in 2017 election

Kamba elders drawn from Masinga sub-county have dismissed recent reports that GEMA and a section of Kamba council of elders had signed a pact to pursue a joint political destiny with Jubilee saying they were in Wiper Party to stay and called on CORD supremo Raila Odinga to consider supporting Kalonzo for the top job.
 
Right folks. Any publicity is good publicity. Hope she gets to tour every part of Kenya so that she can show the best that Kenya has that you will take eons of years to achieve. Infact we need more and more of these journalists to come to Kenya, they are tourists as well so yeah we will reap big as the hotels would get filled up and more jobs will be created. Plus they get to advertise our country as well as you get to see our good roads (sio zenu zimejaa vumbi) and our wildlife too and many more places through your t.v screens. So yeah we get to earn the revenues.
akirudi huko atawaambia ameona barabara ya lami na watoto wakiongea kiingereza.
 
Utumwa wa English jivunie vya kwako sasa ukijua sana English inakusaidia mini zaidi kumtukuza mzungu
 
Big deal? It's the first time ever a Tanzanian media house has posted a journalist to cover an event in another country!
Not first time, itv has been sending, channel ten, star tv etc. Azam ni media mpya, wao ndio mara ya kwanza kutuma kipindi ya uchaguzi, ila wameshareport habari nyingi wakiwa Kenya.

Mnashangaza mnavyodhani mmeendelea sana nasi tupo nyuma sana. That was 90's.
 
Afukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
Angekua ni mzungu mjerumani kasema ze ze ze najua ungemtetea wala usingeona kitu cha ajabu lakini kaongea mwafrika unaona ajabu!
Wale wanariadha wenu hua "wanatema yai"?
kwaiyo dogo... ze ze zisikukoseshe usingizi. concentrate on the content instead
 

Sio kwamba tunadhani tumeendelea, ndio ukweli huo kwamba tumeendelea na kuwaacha majirani mbali, ila muda wote nilidhani Tanzania wanao wanahabari wanaotumwa nje kukusanya taarifa, sasa kuona mada inafunguliwa eti kusheherekea mwanahabari kutumwa Kenya nikashangaa sana kwamba kumbe pamoja na kwamba nilijua mko nyuma lakini kumbe mpo mbali hadi kutia aibu.

Bora umerekebisha kwa kusema wapo wanaotumwa nje na kuthibitisha nilivyokua nadhani awali. Otherwise ningewahurumia sana majirani.
 
Afukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
 
Whats the big deal kuwa na ethnic based radio stations. As long we still have english na kiswahili ones hakuna shida
 
Afukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
Nyie watu wa kariobangi mna shida mingi sana
wazee wa fly toilet.
 
Ati tunashangaza tunavyodhani tumeendelea sana? In God's honesty, I have alsways assumed that all the major media stations with means, be it Ug or Tz do send their journalists abroad to cover the events of importance in those places; I dint state anywhere that Tanzania doesnt do that.
To be honest, I was quite amazed reading that original post by kadoda11 , he's the one who's implied that this is a first in Tanzania, thus my response above.
 
What then is the point of this topic? Even your fellow Tanzanians think it's bogus.
 
Forget the athletes, here we are talking about the journalists, the pipo who should surely be very proficient in the language, in order to effectively be able to convey their messages to the people. And by the people I do not just refer to the audiences in Tanzanian/e.Africa.
 

Hakuna ubaya wowote wa redio kutumia lugha za asili, tena ndio vizuri zaidi ili kuzilinda lugha hizo ambazo ni muhimu kuliko Kiingereza na Kiswahili.
Tumeshakuwa brainwashed kubeza lugha zetu za asili huku tukichukulia poa redio za kidini ambazo ndio tishio kubwa kwa jamii zetu.
 
Big deal? It's the first time ever a Tanzanian media house has posted a journalist to cover an event in another country!

compare your stupid opinion and my answer above then try to reflect yourself in the mirror, hope you will see the bogus side of you.
umepatwa na aibu,hukutegemea kupewa jibu mujarabu kama hilo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
What then is the point of this topic? Even your fellow Tanzanians think it's bogus.
 
mkuu,hizo redio bora hata zingekuwa za dini,ni redio zinazotangaza kwa lugha za kabila husika katika eneo husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…