COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
We give credit were it deserves ata Azam ilete quality TV programs tutainunua and we will be happy about it.it's shame to brag about a thing you don't own.![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We give credit were it deserves ata Azam ilete quality TV programs tutainunua and we will be happy about it.it's shame to brag about a thing you don't own.![]()
![]()
And btw do you own that Azam yourself???it's shame to brag about a thing you don't own.![]()
![]()
Is it owned by kadoda??yes[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe nitaendelea kukuita mshamba mpaka utakapoelevuka.Exposure ndio?? Ebu google DSTV iko na hizo music kuna Trace,BET. etc hio iko Azam? Alafu kama watanzania wengi hawafuatj EPL iyo inaonyesha vile mko down msee
Mpira wakenya huonyeshwa na DSTV but juu ya wrangles ya kpl na Fkf wali suspend waongee kidogo..bamba sport niya Kenya na huonyesha laliga,serie A etc....kwese sport huonyesha game moja ya EPL every weekend....Azam nayo hatujui nliskia in juiceWewe nitaendelea kukuita mshamba mpaka utakapoelevuka.
Hebu tuanze kwa kifupi. Provider gani wa kikenya anaonesha mpira? Hata huo mpira wenu wa kenya tu?
Mbona jamaa wewe ni mshamba kiasi hicho? Unatuaibisha Waafirca.
Kama hamjui EPL in nini... Hamfai kuwa neighbours wetuWewe nitaendelea kukuita mshamba mpaka utakapoelevuka.
Hebu tuanze kwa kifupi. Provider gani wa kikenya anaonesha mpira? Hata huo mpira wenu wa kenya tu?
Mbona jamaa wewe ni mshamba kiasi hicho? Unatuaibisha Waafirca.
Unaona sasa mapovu yanaanza kukutoka.Is it owned by kadoda??
hata sasa wapo wakenya wanaotumia decoder ya azam tv na wanakubari ubora wa azamtv kimyakimya ila hawawezi sema kwa kuogopa aibu kisa tu azamtv is a tanzania owned.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We give credit were it deserves ata Azam ilete quality TV programs tutainunua and we will be happy about it.
Nimekuuliza ni Provider yupi wa kenya anaonesha mpira wenu?Mpira wakenya huonyeshwa na DSTV but juu ya wrangles ya kpl na Fkf wali suspend waongee kidogo..bamba sport niya Kenya na huonyesha laliga,serie A etc....kwese sport huonyesha game moja ya EPL every weekend....Azam nayo hatujui nliskia in juice
Hama tz kaishi kwa wanaojua wenziiAfukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
Kenyans hawako hivo..Kenyans wana appreciate quality my friend Azam has no quality to Kenyans standardhata sasa wapo wakenya wanaotumia decoder ya azam tv na wanakubari ubora wa azamtv kimyakimya ila hawawezi sema kwa kuogopa aibu kisa tu azamtv is a tanzania owned.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
English Premier League. Umefurahi sasa?Kama hamjui EPL in nini... Hamfai kuwa neighbours wetu
DSTV supersport 9 EastNimekuuliza ni Provider yupi wa kenya anaonesha mpira wenu?
Ume google..hehe nyinyi in umaskini inawafanya msikue na subscription mingi ya DstvEnglish Premier League. Umefurahi sasa?
Iyo camera niya sh 20 million na mkenya amewin juzi sh221 million anaeza waongezea engine kama mnabambika nazoUnaona sasa mapovu yanaanza kukutoka.
Hebu tuanze na hapa kwanza
![]()
![]()
![]()
Kwa hiyo kwa mkenya kipimo cha utajiri ni kuwa na DSTV? Hebu nieleweshe hapo kidogo.Ume google..hehe nyinyi in umaskini inawafanya msikue na subscription mingi ya Dstv
KWikwikwikwi. Leta sasa bora zaidi ya hiyo inayotumiwa na Kenya TV station.Iyo camera niya sh 20 million na mkenya amewin juzi sh221 million anaeza waongezea engine kama mnabambika nazo
Dstv ni the best in Africa..Kenya kunaKWikwikwikwi. Leta sasa bora zaidi ya hiyo inayotumiwa na Kenya TV station.