Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

it's shame to brag about a thing you don't own.
3ffb50fbf117d0a4efb211bb6aafd896.jpg
666a4a4af25cc278e69c8b5315d5a6bf.jpg
We give credit were it deserves ata Azam ilete quality TV programs tutainunua and we will be happy about it.
 
Exposure ndio?? Ebu google DSTV iko na hizo music kuna Trace,BET. etc hio iko Azam? Alafu kama watanzania wengi hawafuatj EPL iyo inaonyesha vile mko down msee
Wewe nitaendelea kukuita mshamba mpaka utakapoelevuka.
Hebu tuanze kwa kifupi. Provider gani wa kikenya anaonesha mpira? Hata huo mpira wenu wa kenya tu?
Mbona jamaa wewe ni mshamba kiasi hicho? Unatuaibisha Waafirca.
 
Mpira wakenya huonyeshwa na DSTV but juu ya wrangles ya kpl na Fkf wali suspend waongee kidogo..bamba sport niya Kenya na huonyesha laliga,serie A etc....kwese sport huonyesha game moja ya EPL every weekend....Azam nayo hatujui nliskia in juice
 
Kama hamjui EPL in nini... Hamfai kuwa neighbours wetu
 
We give credit were it deserves ata Azam ilete quality TV programs tutainunua and we will be happy about it.
hata sasa wapo wakenya wanaotumia decoder ya azam tv na wanakubari ubora wa azamtv kimyakimya ila hawawezi sema kwa kuogopa aibu kisa tu azamtv is a tanzania owned.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpira wakenya huonyeshwa na DSTV but juu ya wrangles ya kpl na Fkf wali suspend waongee kidogo..bamba sport niya Kenya na huonyesha laliga,serie A etc....kwese sport huonyesha game moja ya EPL every weekend....Azam nayo hatujui nliskia in juice
Nimekuuliza ni Provider yupi wa kenya anaonesha mpira wenu?
 
Afukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
Hama tz kaishi kwa wanaojua wenzii
 
hata sasa wapo wakenya wanaotumia decoder ya azam tv na wanakubari ubora wa azamtv kimyakimya ila hawawezi sema kwa kuogopa aibu kisa tu azamtv is a tanzania owned.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenyans hawako hivo..Kenyans wana appreciate quality my friend Azam has no quality to Kenyans standard
 
Sportpesa ina sponsor hull city...ina partnership na Arsenal na Southampton...... Na tayari wazungu wanabet wakitumia sportpesa UK...alafu mnakuja kuringia camera ya 20 million...????????????
 
Back
Top Bottom