Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

[emoji1787][emoji1787]mbeya imeongea
Mchagga haaminiki [emoji1787][emoji1787]
Umeandika kishabiki...Askofu Shoo hajafukuzwa wala hajagombea kwa maana Amemaliza Muda wake kikatiba

Na hakuna mchaga yeyote aliyegombea ...kama wangekuwa hawaaminiki Basi Shoo asingeshinda uchaguzi wa 2015 Na 2019 tena chini ya serikali iliyokuwa haimtaki....
 
Usiku huu Mkutano Mkuu wa KKKT umemchagua Kwa mara ya pili Askofu Alex Malasusa Kuongoza Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ! Katika na Uchaguzi uliofanyika usiku huu. Be Malasusa amepata asilimia takribani 69 ya Kura! Akimshinda Askofu Abednego Keshomshahara,aliyepata asilimia 30!

Hii ni mara ya pili Kwa Bwana Malasusa Kuongoza Kanisa hili ,Kwani ndiye aliyemwachia kiti Dk Frederek Shoo!
Kuna usemi wake maarufu aliwahi kusema...Tanzania Kuna Wapumbavu wengi sana,Nyerere alifuta ujinga akasahau Upumbavu!🤔
 
Hivi Askof M. Mwamakula ni dhehebu gani huyo?
Hiko kichwa kipo njema sana.
 
Ndugu yake Mwabukusi ameingia kazin😆😆
 
Sina imani nae kivile.. namuona ni kijani damu... Mungu nisamehe lkn haukuwa wakati sahihi kumchagua

Sure Jamaa ana elements za ukijani ,asije kuifanya KKKT kama BAKWATA ,afuate nyendo za Shoo ambaye alikuwa hafungamani na upande wowote anasimamia ukweli.
 
Mungu awaongoze makaasisi wetu
 
Katoliki maaskofu wanapigiwa Kura? Au wanapiga bila kupingwa?
Kanisa Katoliki hufuata biblia, historia na mapokeo. Hakuna uchaguzi wa maaskofu wala mapadre wala mashemasi. Maaskofu huteuliwa na Papa. Na wala hawana kipindi maalum cha kuhudumu.

Did the apostles appoint bishops?

In this context, Clement explicitly states that the apostles appointed bishops as successors and directed that these bishops should in turn appoint their own successors; given this, such leaders of the Church were not to be removed without cause and not in this way.

Who appointed the first bishop?

SO, Who was the First Bishop of Rome? According to the second-century Irenaeus, it was a man named Linus, who was appointed to the office by Peter and Paul (Against Heresies 3, 3, 3).

How do priests become bishops?

According to the Church's law, a bishop must be “outstanding in solid faith, good morals, piety, zeal for souls, wisdom, prudence and human virtues.” In addition, he should be of good reputation, at least 35 years old, ordained a priest at least five years earlier and in possession of a doctorate or licentiate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…