Mahakama zipi, wewe unaona kuna mahakama hapa.Siyo ubishi wa kijinga wewe ndo unaleta accusations za kijinga. Yaani useme tu polisi walibeba masanduku ya kura then unataka kila mtu aamini. Hakuna ushahidi wowote wala hizo tuhuma hazijawahi kupelekwa mahakamani wala popote kule. Halafu unasema hakuna mtu asiejua, ndo maana mnaitwa upinzani wa hovyo kutokana na mambo kama haya.
Tuonyeshe hicho kitisho walichopewa ITV? Na hayo maelezo yaliyotolewa kwamba walizua taharuki kwa kuonyesha masanduku yamebebwa na polisi.
Halafu kuhusu watu kujiandikisha kupiga kura, hili lilikua ni zoezi la watu kuhuisha taarifa zao kama walihama maeneo waliokua mwanzo wakaenda sehemu nyingine, watu ambao wamefariki dunia, watu ambao hawakuwahi kujiandikisha kabisa kutokana na sababu mbalimbali na watu ambao ikifika mwezi Oktoba watakua wamefikisha umri wa kupiga kura yaani miaka 18. Majority ya watu wengi walishajiandikisha toka 2015. Sasa ulitegemea hiyo misururu ya watu itokee wapi au ulitaka wajiandikishe upya.
Haaaa kama yule wa Cameroon au nchi gani nilisikia kua muda mwingi yuko ulaya kumbe na huyu?Malawi wamekataa huyo Rais Kwa sababu alikuwa anaishi Ulaya.
Yaani familia yake ipo ulaya kwa mwezi anaenda mara mbili.
Siyo ubishi wa kijinga wewe ndo unaleta accusations za kijinga. Yaani useme tu polisi walibeba masanduku ya kura then unataka kila mtu aamini. Hakuna ushahidi wowote wala hizo tuhuma hazijawahi kupelekwa mahakamani wala popote kule. Halafu unasema hakuna mtu asiejua, ndo maana mnaitwa upinzani wa hovyo kutokana na mambo kama haya.
Mimi tena ndo nimpigie Sam Mahela kuomba ushahidi wakati nyinyi ndo mnaolalamika? Ndo maana mliambiwa muende mahakamani, nyinyi si mna Mawakili wengi wasomi kina kibatala, Lissu n.k wote walikuepo kipindi hicho. Kwann wasingeiomba mahakama itoe order ili ITV iwasilishe huo ushahidi mbele ya mahakama? Ina maana hao wote hawakuona hayo masanduku yakitolewa mbele ya polisi isipokua nyinyi tu keyboard warriors wa JF.Kuhusu kitisho kwenda ITV, kama una simu ya mtangazaji Sam Mahela aliyekuwa ITV kabla ya kuhamia TBC, kwani ndiye aliyerusha live covarage ya tukio lile, mpigie akuambie nini kilitokea. Mimi sina uwezo wowote kwa kupewa hiyo footage na ITV, kwani hata wao hawawezi kuthubutu kuitoa kama bado wanayo kwenye archive yao, maana hicho kituo kitakikuta kilicholikuta gazeti la Tanzania daima. Usitake kupotosha nilichosema, nimesema mabox ya kura yalitolewa vituoni mbele ya macho ya polisi, na msimamizi wa uchaguzi, na kurudishwa vituoni mbele ya macho ya polisi na msimamizi wa tume, na wala hawakuchukua hatua yoyote.
Daftari la kura halijawahi kuboreshwa toka mara ya mwisho 2015, hivyo kuna miaka mitano bila daftari kuboreshwa. Vijana ndio wengi, wangalau huko vituoni kusingepungua watu 4m+ wakijiandikisha na kuhuisha taarifa zao. Je umeona sign yoyote ya watu 4m+ wakiajiandikisha? Wakati wa kusajili line za simu kwa alama ya vidole tuliona misururu, mbona hatukuona misururu ya kujiandikisha wapiga kura?
Usipende kudandia treni kwa mbele, angalia mleta hoja amesema nn? Ameeleza kwamba polisi ndo waliobeba masanduku ya kura. Ndo maana tunasema hizi ni accusations za kijinga, wenyewe kwa wenyewe mnatofautiana. Huyu anasema polisi wamebeba masanduku, wewe unasema siyo polisi bali ni watu wengine ila polisi walishuhudia. Sasa tuchukue la nani?Usitake kuleta upotoshaji wa kijinga hakuna popote polisi alipokimbia na box la kura kichwani, wao polisi walitulia wakiona mabox ya kura yakitolewa mbele ya macho yao, na msimamizi wa uchaguzi bila kuchukua hatua yoyote. Hivyo ni wazi wao walipewa maagizo toka juu kufumbia macho kilichokuwa kinatendeka. Unataka watu waende mahakama gani, hao waliowaagiza polisi na wasimamizi wa uchaguzi kuchezea uchaguzi, ndio hao hao wanaowapa amri mahakama kutoa hukumu ya kupindisha haki. Mahakama ya Malawi na vyombo vyao vya dola viligoma kutumikia huo uhuni. Iwapo vyombo vyetu vya dola na mahakama zingetekeleza wajibu wake kwa mijibu wa sheria za nchi, na sio kutii amri toka juu, leo hii ccm ingekuwa historia.
Mahakama hizi ndo ziliwapa Ushindi wa Ubunge kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Prof. Jay, Lijualikali, Susan Kiwanga, Kubenea na wengine wengi. Sasa sijajua kwanni kwa hili la kinondoni lilishindikana kupelekwa Mahakamani.Mahakama zipi, wewe unaona kuna mahakama hapa.
Mimi tena ndo nimpigie Sam Mahela kuomba ushahidi wakati nyinyi ndo mnaolalamika? Ndo maana mliambiwa muende mahakamani, nyinyi si mna Mawakili wengi wasomi kina kibatala, Lissu n.k wote walikuepo kipindi hicho. Kwann wasingeiomba mahakama itoe order ili ITV iwasilishe huo ushahidi mbele ya mahakama? Ina maana hao wote hawakuona hayo masanduku yakitolewa mbele ya polisi isipokua nyinyi tu keyboard warriors wa JF.
Halafu unapotaka kuongelea idadi ya wapiga kura ni lazima uwe na takwimu halisi. Usiseme tu kwa kipindi cha miaka 5 walitakiwa wajiandikishe 4M + hizi takwimu umezitoa wapi? Pia ni lazima utambue, kitambulisho cha kupiga kura hakitumiki tu kwa ajili ya kupiga kura bali hutumika kama utambulisho rasmi wa mtu kwenye shughuli nyinginezo za kijamii. Sasa sidhani kama vijana unaowaongelea ambao ninaamini wengi wao hawana shughuli maalum, wangeacha kutumia fursa hii adimu ya kupata utambulisho hata kama hawana nia ya kupiga kura. Kwahiyo kama wangekuepo tungeshuhudia hiyo misururu wakati wa kujiandikisha kama ilivyokua 2015. Siyo kila anaejiandikisha kupiga kura basi ni lazima apige kura, wengine wanataka kitambulisho tu.
Hivyo, hoja yako kwamba mmefanikiwa kushawaishi watu wasijiandikishe ili wasipige kura haina mashiko na ni jambo la kufikirika. Inawezekana unatamani iwe hivyo ila ndo haiwezi kuwa hivyo.
Usipende kudandia treni kwa mbele, angalia mleta hoja amesema nn? Ameeleza kwamba polisi ndo waliobeba masanduku ya kura. Ndo maana tunasema hizi ni accusations za kijinga, wenyewe kwa wenyewe mnatofautiana. Huyu anasema polisi wamebeba masanduku, wewe unasema siyo polisi bali ni watu wengine ila polisi walishuhudia. Sasa tuchukue la nani?
Haaaa kama yule wa Cameroon au nchi gani nilisikia kua muda mwingi yuko ulaya kumbe na huyu?
Of late, hizi mahakama zimefyata kwa kuacha kufuata sheria na sasa zinafanya kazi kwa shinikizo toka ikulu.Mahakama hizi ndo ziliwapa Ushindi wa Ubunge kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Prof. Jay, Lijualikali, Susan Kiwanga, Kubenea na wengine wengi. Sasa sijajua kwanni kwa hili la kinondoni lilishindikana kupelekwa Mahakamani.
Mimi nimekupa mifano ya namna Mahakama zilivyofanya kazi kwa weledi na kuwapa Ushindi wao halali baadhi ya Wabunge wa upinzani. Hebu nawewe tuambie kwa mifano ni wapi Mahakama ziliufyata zikaacha kufuata sheria na kufanya kazi kwa mashinikizo. Hapa tunajadiliana kwa fact hatutaki porojo.Of late, hizi mahakama zimefyata kwa kuacha kufuata sheria na sasa zinafanya kazi kwa shinikizo toka ikulu.
Kuna majaji wamefanywa waamini kuwa uteuzi wao ni fadhila toka kwa rais hivyo wanawajibika kufanya maamuzi yanayomfurahisha. That's all.
Nitakupa mifano michache tu, kesi kama ya Sugu, Lema, Mbowe and Co, Lissu v Spika, F. Karume, Zitto, Wangwe v AG ziko nyingi tu ni dhihirisho tosha ya ni kwa nini wawekezaji hawawezi wakakubali mashauri yao yasikilizwe hapa.Mimi nimekupa mifano ya namna Mahakama zilivyofanya kazi kwa weledi na kuwapa Ushindi wao halali baadhi ya Wabunge wa upinzani. Hebu nawewe tuambie kwa mifano ni wapi Mahakama ziliufyata zikaacha kufuata sheria na kufanya kazi kwa mashinikizo. Hapa tunajadiliana kwa fact hatutaki porojo.
Hii siyo mifano bali umetaja tu kesi zilizokua mahakamani. Onyesha ni wapi ambapo mahakama haikutoa haki wakati sheria ipo wazi halafu ikapindishwa? Tatizo lenu kila Kesi inayomhusu mpinzani ili mahakama ionekane ipo huru basi lazima huyo mpinzani ashinde kinyume na hapo hiyo mahakama haipo huru inashinikizwa. Sasa sheria hazipo hivyo na wala haziangalii watu usoni.Nitakupa mifano michache tu, kesi kama ya Sugu, Lema, Mbowe and Co, Lissu v Spika, F. Karume, Zitto, Wangwe v AG ziko nyingi tu ni dhihirisho tosha ya ni kwa nini wawekezaji hawawezi wakakubali mashauri yao yasikilizwe hapa.
Tanzanian Courts are very partisan to the Government and the legal practitioners are very inefficient and highly unprofessional thus reducing the courts to mere Kangaroo ones.
Final national results for the Malawi fresh election
Registered voters 6,859,570
Total votes 4,445,699
Voter turn out 1.9%
Valid votes 4,388,376
Null & void 56,323 (1.9%)
Dr. Chakwera - 2,604,043 (58.57%)
Peter Dominic Driver Kuwani - 32,456
Prof. Arthur Peter Mutharika - 1,751,377
I wish to congratulate the President-elect of the Republic of Malawi, H.E. Lazarus Chakwera for his resounding and well-deserved victory.
#MalawiDecides2020
Mada hapa sio upinzani kushinda ni uchaguzi kuendeshwa kwa uwazi! Vyombo vya habari vya umma havikumbeba rais wala majeshi wala mahakamaMpinzani akishinda haki imetendeka![emoji53]
Sababu za kimataga matagaMalawi wamekataa huyo Rais Kwa sababu alikuwa anaishi Ulaya.
Yaani familia yake ipo ulaya kwa mwezi anaenda mara mbili.