Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Kwenda
Sababu za kimataga mataga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu za kimataga mataga
Jeshi haliwezi kumuunga mtu was aina hiyo ambaye muda mwingi Yuko MarekaniUpo sawa lakini ebu fikiria kama angekuwa amejikita kutumia nguvu ya dola na kutengeneza vibaraka wakumsifu unadhani wananchi wangekuwa na namna ya kumtoa?
Bwana acheni kufanya watu wajinga, hata kama wangeenda kwenye hizo mnazoita mahakama kudai Lissu arejeshewe ubunge hakuna mahakama ktk nchi hii ingekubali hilo, hakuna.Hii siyo mifano bali umetaja tu kesi zilizokua mahakamani. Onyesha ni wapi ambapo mahakama haikutoa haki wakati sheria ipo wazi halafu ikapindishwa? Tatizo lenu kila Kesi inayomhusu mpinzani ili mahakama ionekane ipo huru basi lazima huyo mpinzani ashinde kinyume na hapo hiyo mahakama haipo huru inashinikizwa. Sasa sheria hazipo hivyo na wala haziangalii watu usoni.
Nikitolea tu mfano mzuri wa kesi ya Lissu na Spika. Mawakili wenu walifanya kosa la kiufundi badala ya kwenda mahakamani kupinga uchaguzi usifanyike ili kesi msingi isikilizwe kwanza, wao wakasubiri mpaka uchaguzi umefanyika halafu ndo wakaenda mahakamani kupinga mbunge mpya asiapishwe ili kesi ya lissu kuvuliwa ubunge isikilizwe. Sasa kisheria unapopinga mbunge asiapishwe maana yake unapinga utaratibu wa kuchaguliwa kwake. Mahakama ilipowauliza Kuna sheria au Kanuni gani zimekiukwa kwenye uchaguzi ili wazuie asiapishwe, jibu lao eti Lissu alivuliwa ubunge isivyo halali. Mahakama ikauliza tena kwann hakumzuia uchaguzi usifanyike kwanza? Hawakua na majibu. Kuvuliwa ubunge kwa Lissu na kuchaguliwa kwa mbunge mpya kuna mahusiano gani? Wakakosa majibu. Mahakama ilipotoa rulling mbunge aapishwe, kosa Lipo wapi?