Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bastola pia mmekabidhi??Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.
msindi chama kinachoanza na C
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema
huyu sasa anatafuta chokochoko,,,,mambo haya ndo husababisha vurugu zisizo na msingi
Hata mimi nilisikia kuna mzee kafika asubuhi na kanyimwa hiyo fomu na kitambulisho chake kapotezamagayane protas:kama huna kitambulisho hurusiwi kupiga kura hata kama umejaza fomu na. 17
wakuu hii fomu ikoje kwani kwa mujibu wa clouds haipatikani kiurahisi
Bado masaa machache vilio vianze kuna wengine watakimbia Jamvini kwa muda na kuna wengine watabaki Jamvini wakisherekea ushindi
Wasiwasi wangu masanduku kusafilishwa na boda boda.
Kama kawaida yenu...mnawaza tu kuibiwa
CCM ni wajinga sana, hivi kuna mtu mjinga anayeweza kuamini kuwa mgombea wa CDM anaweza kujitoa dakika za mwisho kiasi hiki? Warekodini ili uwe ushahidi, tumieni hata simu zenye uwezo mzuri wa kurekodi.gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema
Asante kwa updates..Tatizo ni fomu na 17 tu ila hali ni shwari
Hii TV mmiliki wake ni Mengi? Naye c ametokea Machame kama Mbowe?
naamini demokarsia imekuwa. Wote tutabaki jamvini. Kwakuwa kila mmoja anatambu kuwa tunahitaji mgombea mmoja tu.
Hujuma zimeanza Ngeleja ameishachukua umeme ili kutunyima haki yetu ya kufuatilia uchaguzi kupitia JF...
Anyway ngoja niwashe iPAD yangu maisha yaendelee...
Eeeee Mungu sikia kilio cha wana igunga, zima majaribio yote ya uchakachuaji na ruhusu uchaguzi huru na wa haki.
gari ya ccm inapita mitaani kwenye kata ya nyandekwa ambayo ni ngome ya chadema ikitangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa,
diwani wa ccm kata ya nkinga alikuwa anatisha wapiga kura,lakini ameshughulikiwa na vijana wa chadema
Asante kwa updates..
Kina mama bado wapo mstari wa mbele?
Au vijana wameshaanza vurugu?