Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
wakuu kuna mama anaongea na tbc kwa huzuni amekuta jina limeandikwa amekufa kisha balozi alimlazimisha ampe shahada yake ya kura kisha kumlazimisha achague gamba alipokataa aambiwa akipata shida yoyote asije kulalamika wadau mnalionaje
Tunaona kama ni uzushi
 
Nimemwona mama anaelezea TBC namna Green Guard kupitia kwa mwenyekiti wa kitongoji walivyomtafuta ili a-submit kadi yake. Lakini aliktaa, amesema waziwazi kuwa amepigia vidole 2.
 
Mawakala wa cdm wamezuliwa na polisi wakidai si wakaz waigunga
 
Mode nashauri hii thread apewe mwana jf aliyeko Igunga, hata kama thread starter ni simple mind, kwa sasa iko page 18 na ukifungua mwanzo ndio hii statement, unakuwa huwatendei haki wale wanaoingia sasa kujua nini kinaendelea Igunga. Hivyo threat ya msingi iwe updated from time to time vinginevyo tutajikuta tuna utitiri wa thread za Igunga kuzungumzia kile kile!

Live Mlimani TV: Heche.

mwanahabari: hali ikoje?

heche: ni nzuri, kuna hujuma, shahada zimenunuliwa na mabalozi, vijana wanakamatwa sana, lakini hali ni shwari.

mwanahabari: mahudhurio ya vijana na wazee:

heche: watu mchanganyiko wamejitokeza, vijana ni wengi, watu wazima pia, vijana wanakamatwa, mawakala wanazuiwa kuingia kwenye vituo ati si wakazi wa igunga, wakati sheria haisemi kama wakala lazima awe mkazi.

heche: hao wazee wanaosemwa na esther bulaya na wao wamechoka na maisha magumu, na hawapigii kura ccm.
 
In green & Yellow wanashine!
Okey mwambie mama namtumia za yellow na green ziziso na nembo ya chama ili atulie nyumbani asikukuruke kwenye misafara kutwa kugombania vilemba na kanga. Hakika nimeamini like a mother like a son.
 
Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi
CRAP deserves a comfortable place in a bin full of crap.
there you go...
poverty-17.jpg
 
Nimemwona mama anaelezea TBC namna Green Guard kupitia kwa mwenyekiti wa kitongoji walivyomtafuta ili a-submit kadi yake. Lakini aliktaa, amesema waziwazi kuwa amepigia vidole 2.

huyo hajui nini maana ya kura. Kura ni siri.
 
Mama mmoja Igunga atoa ushuuda kwamba ameenda kupiga kura akakuta ameandikwa kwenye orodha ya waliokufa: akisimulia zaidi anasema alikuwa na msuguano wa muda mrefu na balozi wa nyumba kumikumi baada ya balozi huo kumwomba shahada yake ya kupigia kura ili ichukuliwe namba naye mama kukataa.
Swali linakuja: hawa mabalozi wenye tabia kama hizi watatufikisha wapi??
Source TBC1 live.
 
Hawa mlimani tv vpi,mbona nacheki hapa tbc naona vjana kbao wamejtokeza,

inategemea anayeripoti yuko pande gani.kunasehemu watu ni wachache na baadhi ya sehemu watu ni wengi sana.
 
Wasitutishe na maji ya washawasha bwana,lazima cdm tushinde!!
 
Updates kutoka kwa Wa Jikoni:
  • Hali ni tulivu.
  • Watu wamejitokeza kupiga kura asubuhi hii, wengi wakiwa ni kina mama.
  • Watu wanahakiki majina yao.
  • Hakuna malalamiko, so far

Wakina mama mbona tulikuwa hatuwaoni kwenye mikutano ya Kampeni? au ndio Dalili mbaya kwa Upinzani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom