Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rostam Aziz ndani ya Igunga.
Upigaji kura umeanza kusuasua kwa mujibu wa chanel 10.anasema asubuhi watu walikuwa wengi vijana na kina mama.katembelea vituo kama sita vyote havijafikisha hata nusu ya idadi yawaliojiandikisha.
TBC wameweka Taarabu..... siwezi tena kufuatilia
huyo nae si mibangi tujohn heche kasema akiongea na mlimani tv kwamba,mawakala wa chadema wanazuiliwa kuingia kwenye vituo vya kusimamia kisa si wenyeji wa sehemu husika.wanaowazui ni watendaji.mtangazaji wa channel10 anareport kwamba kituo cha ujenzi ambacho kipo karibu na ofisi za msimamizi mkuu wa uchaguzi vifaa havitoshi na vingine vimeisha.mia
Wangapi wasio na ujasiri wamefanyiwa hivyo na hawajasema?ila mama jasili sana kapambana na magamba na haogopi.
CDM wamemkamata mpiga kura mmoja akitumia kadi ya marehemu. Anahojiwa.
eatv!kuna watu wamebadilisha picha,wameondoa picha za zamani,na kuweka picha mpya ili waka vote mwana wane,kazi ipo!
Wakina mama mbona tulikuwa hatuwaoni kwenye mikutano ya Kampeni? au ndio Dalili mbaya kwa Upinzani?
We si BAKWATA walikukataza kushabikia CDM?Hongera sana Mkuu zibeni kila kona kwa kweli tunawaombea sana tunahitaji huo ushindi uende kwa Chadema, Ehee Mwenyezi Mungu tuokoe kutoka katika mikono ya mafirauni hawa wanajiita CCM.
Mshindi atatangazwa leo leo ama?
Guest ni wengi kuliko wenyejiThere are currently 709 users browsing this thread. (202 members and 507 guests)
Mzee maswali yako kama polic
We si BAKWATA walikukataza kushabikia CDM?
Nae pia ana siasa uchwara...Huyu si ndie aliyewaambia wana Igunga kuwa CCM wanafanya siasa uchwara.