Guyton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 264
- 82
Tunaona kama ni uzushi
akihojiwa live kupitia tbc mama huyo kasema swala la yeye kuonekana amefariki ni hujuma zilizofanywa na mjumbe wake ambaye alikua anamlazimisha kuisuport manjano, lakini yeye alikataa, na baada ya kupandisha bendera ya vidole viwili, mjumbe huyo alimwambia kuwa anajua kuwa kuna kijana wa chadema ndo anamdanganya na akamwambia kuwa ni bora awafuate wamama wenzake ambao wanashabikia manjano, lakini yeye alikataa na akamuuliza mjumbe kuwa una uhakika gani kuwa hao wezangu wanashabikia hicho chama unachokisema??
mwandishi wa habari akamuuliza, vipi ikiwa chama chako kitashindwa?? akajibu, 'hamna tatizo, kwani baba yako akiwa masikini utamkataa?? huwezi bali utamsubiri naye siku moja atapata', ila akamalizia kuwa anahofia usalama wake.