Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
ngeleja kashachukua chake arusha ngoja nitumie sm mpaka kieleweke
 
Chanel 10 ya wapi unayo angalia wewe? Hivi hivyo tamthiria ya kikanada ndio uchaguzi igunga?

wapo hewana tena wanamhoji ngulu nchemba,analalamika kuwa kunawatu wapokaribu na vituo hawataki kuondoka na wanataka kulinda kura na wametumwa na cdm.anasema eti wanajiandaa kufanya fujo.poor nchemba
 
Wakuu kuna kituo vifaa vya kupigia kura vimepelekwa na boda boda.

mi naona poa tu ili mradi kuna usalama! Acha nao wapate chakula cha watoto ndo kufa kufaana huko, wasitoke bure uchaguzi huu! All the best wana Igunga!
 
TBC imeripoti zoezi la kupiga kura Igunga na kumwonyesha mwanamke anayejipambanua kuwa ni wa CHADEMA ambaye amesema balozi mmoja wa nyumba kumi kareport kuwa yeye kafariki dunia ili asipige kura kwa kuwa alikataa kuiunga mkono CCM.

Haya ni mambo ya aibu kwanini watu walazimishwe, hiyo demokrasia ipo wapi? CCM mbinu za aina hii za kizamani sana sasa ni aibu tupu
 
Chanel 10 wanasema upungufu wa vifaa tena ni igunga mjini hapo ujenzi,upigaji kura umesimama form zimeisha.now it is time for magamba.
 
eatv!kuna watu wamebadilisha picha,wameondoa picha za zamani,na kuweka picha mpya ili waka vote mwana wane,kazi ipo!
 
Kuna kila dalili ya chama chetu kuibuka na ushindi. Tuombe Mungu tu safari hii wasikatae matokeo.
 
Wa Jikoni wangu kule Igunga anasema pale Isakamaliwa biashara imeisha, kura zilizopigwa hadi sasa zimeishatosha kwa CDM. Wanachokifanya saizi ni kugonga Balimi tu wanasuburia majumuishi na hesabu ya vituo vingine. Kumbe ndio maana Mukama alisema Isakamaliwa kuna maghaidi wako pale kumbe haya ya leo alitabiri...
Update CDM 1 CCM 0
Source yenyewe ni mtu aliyetumwa na CCM kutisha wananchi lakini amegeuka kuwa Wa Jikoni wangu kunijuza kilichotokea baada ya kukuta wananchi hawatishiki. Kuwatisha ni kuzuia mvua. Anayebisha CDM kushinda Isakamaliwa saa tano hii tuweke laki moja moja
 
Kubali kataa.. jamaa wa Magamba watapiga bao kwa tactic yao ya kununua kadi za wale ambao walijulikana toka awali kuwa hawatawapigia kura.
 
john heche kasema akiongea na mlimani tv kwamba,mawakala wa chadema wanazuiliwa kuingia kwenye vituo vya kusimamia kisa si wenyeji wa sehemu husika.wanaowazui ni watendaji.mtangazaji wa channel10 anareport kwamba kituo cha ujenzi ambacho kipo karibu na ofisi za msimamizi mkuu wa uchaguzi vifaa havitoshi na vingine vimeisha.mia
 
There are currently 709 users browsing this thread. (202 members and 507 guests)
 
mi naona poa tu ili mradi kuna usalama! Acha nao wapate chakula cha watoto ndo kufa kufaana huko, wasitoke bure uchaguzi huu! All the best wana Igunga!

Katika hali ya kukosa haki ya kupiga kura ni amani????? Tafsiri ya amani unaifahamuje?????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom