Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Tunaona kama ni uzushi

akihojiwa live kupitia tbc mama huyo kasema swala la yeye kuonekana amefariki ni hujuma zilizofanywa na mjumbe wake ambaye alikua anamlazimisha kuisuport manjano, lakini yeye alikataa, na baada ya kupandisha bendera ya vidole viwili, mjumbe huyo alimwambia kuwa anajua kuwa kuna kijana wa chadema ndo anamdanganya na akamwambia kuwa ni bora awafuate wamama wenzake ambao wanashabikia manjano, lakini yeye alikataa na akamuuliza mjumbe kuwa una uhakika gani kuwa hao wezangu wanashabikia hicho chama unachokisema??

mwandishi wa habari akamuuliza, vipi ikiwa chama chako kitashindwa?? akajibu, 'hamna tatizo, kwani baba yako akiwa masikini utamkataa?? huwezi bali utamsubiri naye siku moja atapata', ila akamalizia kuwa anahofia usalama wake.
 
Armed struggle ndiyo option pekee ilibaki kwa Watanganyika. Katika hali ya kawaida kwa nini huyo balozi asiuawe?
 
Mkurugenzi naona anaongea lakini inaonekana hawataruhusiwa

Hivi Jamani mbona hii imekaa kama kuna uzembe fulani sehemu fulani! Ina maana hawa watu wamejuwa leo kuwa kadi zao zimepotea? na kama walijuwa toka siku nyingi mbona hawakufuatilia mapema kabla ya siku ya uchaguzi? Na kwanini NEC huwa hawataki ku-update wapiga kura kila baada ya uchaguzi?
 
Kweli nimeamini hakunaga chama kinachopendwa kama CCM hapa Igunga. Hii misururu ya kina mama imenitia moyo sana!
 
nimwmwonw yule mama ila nimefarijika sana kuona mama wa makamo yale akielewa haki zake na kusimama kidete kusimamia kile anachoamini ni haki yake,nilikuwa na ongea na mama mdogo wangu anasema ameshapiga kura nilipomwuliza inaonaje hali ya hewa akasema chadema labda wachakachuliwe.
Cdm wakishinda nami nitajitoa rasmi kuchangia hapa jamvini
 
Hongera mama kwa kutambua haki yako na sio kudanganywa na wanamagamba kwa kanga na ubwabwa kwasababu wanataka uwaajiri kazi. Wameshindwa kazi miaka 50 ni wakati wananchi watambue haki zao na kuwachagua wengineo nao wajaribu.
 
Nilisema mabalozi ndo mwiba mkubwa kwa ushindi wa upinza huko vijijini. Kama chadema hawajashughulika na kuwa na sysytem itakayokuwa karibu na watu wao huko vijijini ambayo inafanana na mabalozi ushindi utakuwa wa shida.

Chadema lazima waanzishe mfumo wa nyumba ishirini kuwa na mwakilishi atakayeshughulikia vitendo kama alivyofanyiwa huyu mama. Akina mama wanafuatwa Sana na vibalozi huko vijijini na kudanganywa kwa kanga na Tshirt. Cdm lazima waanzishe mfumo utakao walinda huko vijijini kwa sababu ya elimu ndogo ya wanawake na wazee.
 
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.
 
Kweli nimeamini hakunaga chama kinachopendwa kama CCM hapa Igunga. Hii misururu ya kina mama imenitia moyo sana!

Unaota ndoto za mchana hata hao akina mama nao wanajua makali ya maisha kwahiyo usijifariji ndugu yangu.
 
hoyo mama anaweza kufungua case mahakamani kwa sabab ni haki yake ya kikatiba kupiga kula vile vile hii kama defamation hivi? nyinyi wadau mnasemaje?
 
Cdm wakishinda nami nitajitoa rasmi kuchangia hapa jamvini

Hee! hii siasa tu ndiyo kuharibie mfumo mzima wa maisha yako! viapo gani hivi jamini! mwingine nitakunywa sumu! duuh!
 
Tunaomba amani iliyopo iendelee kutawala ili watu wapige kura kwa amani na matokeo yatolewe kwa wakati ili tuachane na propago za huko.
 
Habari zimenifikia kuwa SLAA yuko hoi na presha, wanacdm wanaomba dua zote CDM ishinde lasivyo kesho kutakuwa na kilio kikubwa cha huyu mzee. Umebaki uzi tu. CDM wote hapa JF ombeni dua.

Hata wewe omba dua magamba washinde. Dr. Slaa katulia as usually
 
Mwandishi wa ITV.

Kituo cha Upumbulya.

ID za baadhi ya vitambulisho ni tofauti na zile zilizo kwenye majina yaliyoko kwenye documents za NEC.

Sasa hapa wadau msnisaidie. kwani NEC wanatunza data za wapigakura kwa database au kwa Excel?

Mwanahabari anasema watu wanapiga kura na kuondoka kwa maana wengi wanaonekana wako na nidhamu na ni waoga.

Hao ni wapiga kura bandia!
 
Habari zimenifikia kuwa SLAA yuko hoi na presha, wanacdm wanaomba dua zote CDM ishinde lasivyo kesho kutakuwa na kilio kikubwa cha huyu mzee. Umebaki uzi tu. CDM wote hapa JF ombeni dua.
Zitakufikia sana..habari za maswa...lakini bona tabia yako nitofauti na wana maswa....
 
Cdm wakishinda nami nitajitoa rasmi kuchangia hapa jamvini

acha upumbavu na ushabiki unapata nini sie wenzio kama ni kufaidi tumeifaidi sana tu hiyo ccm na bado tunafaidi lkn tunaona mbele tuendako ni giza no organization. Nyie mnakurupuka kwa vijisenti kama vyangudoa. Jitambue na kujitafakari kabla ya kuchangia.
 
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.

Lete source ya habari yako,mama amehojiwa tbc ,je huyo aliyekanusha amehojiwa na uhuru FM au mzalendo ?
 
Kweli nimeamini hakunaga chama kinachopendwa kama CCM hapa Igunga. Hii misururu ya kina mama imenitia moyo sana!
mwita 25 naona macho yako yameanza kuwa makengeza hata jina limekuwa mawenge?
utakula indemoni yako leo,naona na jamaa yako omr hapo chini anapumulia icu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom