Tunaona kama ni uzushiwakuu kuna mama anaongea na tbc kwa huzuni amekuta jina limeandikwa amekufa kisha balozi alimlazimisha ampe shahada yake ya kura kisha kumlazimisha achague gamba alipokataa aambiwa akipata shida yoyote asije kulalamika wadau mnalionaje
jamani kuna mama anachanika tbc please angalieni
Mode nashauri hii thread apewe mwana jf aliyeko Igunga, hata kama thread starter ni simple mind, kwa sasa iko page 18 na ukifungua mwanzo ndio hii statement, unakuwa huwatendei haki wale wanaoingia sasa kujua nini kinaendelea Igunga. Hivyo threat ya msingi iwe updated from time to time vinginevyo tutajikuta tuna utitiri wa thread za Igunga kuzungumzia kile kile!
Okey mwambie mama namtumia za yellow na green ziziso na nembo ya chama ili atulie nyumbani asikukuruke kwenye misafara kutwa kugombania vilemba na kanga. Hakika nimeamini like a mother like a son.In green & Yellow wanashine!
CRAP deserves a comfortable place in a bin full of crap.Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi
Yupo kibaruani ila kura ni siri yake.
Nimemwona mama anaelezea TBC namna Green Guard kupitia kwa mwenyekiti wa kitongoji walivyomtafuta ili a-submit kadi yake. Lakini aliktaa, amesema waziwazi kuwa amepigia vidole 2.
Anasemaje??jamani kuna mama anachanika tbc please angalieni
"enjoy yourself because you can't change anything anyway"
Hawa mlimani tv vpi,mbona nacheki hapa tbc naona vjana kbao wamejtokeza,
inategemea anayeripoti yuko pande gani.kunasehemu watu ni wachache na baadhi ya sehemu watu ni wengi sana.
Updates kutoka kwa Wa Jikoni:
- Hali ni tulivu.
- Watu wamejitokeza kupiga kura asubuhi hii, wengi wakiwa ni kina mama.
- Watu wanahakiki majina yao.
- Hakuna malalamiko, so far
Na mkishindwa je?Wasitutishe na maji ya washawasha bwana,lazima cdm tushinde!!
Mbona kama roho imekuuma ivi?huyo hajui nini maana ya kura. Kura ni siri.
Wasitutishe na maji ya washawasha bwana,lazima cdm tushinde!!