tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
kama ni presha si zingempanda mwaka jana mlipofanya wizi wa kutisha? toa upupu wako hapaHabari zimenifikia kuwa SLAA yuko hoi na presha, wanacdm wanaomba dua zote CDM ishinde lasivyo kesho kutakuwa na kilio kikubwa cha huyu mzee. Umebaki uzi tu. CDM wote hapa JF ombeni dua.
Ni kweli anaweza kufungua kese ila kura kapiga. Hafu usidhani hawa mabalozi hupewa hela ya maana ovyo kabisa utakuta wanapewa elfu kumi. Tuwaelimishe tu na kuwaombea.hoyo mama anaweza kufungua case mahakamani kwa sabab ni haki yake ya kikatiba kupiga kula vile vile hii kama defamation hivi? nyinyi wadau mnasemaje?
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.
Misemo ya kishosti flani ivi.Mbona unajishakia kijana, mimi nimeuliza kama unao uwezo wa hiyo laki na kama huna basi una mbuzi au ng'ombe. Mwanaume mzima unajishakia bure. Au ndio umeshazoea kutongozwa nini?
Lete source ya habari yako,mama amehojiwa tbc ,je huyo aliyekanusha amehojiwa na uhuru FM au mzalendo ?
Kwa nini Sharif Hamad alinyoa ndevu baada ya kupewa umakamu rais???Habari zimenifikia kuwa SLAA yuko hoi na presha, wanacdm wanaomba dua zote CDM ishinde lasivyo kesho kutakuwa na kilio kikubwa cha huyu mzee. Umebaki uzi tu. CDM wote hapa JF ombeni dua.
Cdm wakishinda nami nitajitoa rasmi kuchangia hapa jamvini
kama ni presha si zingempanda mwaka jana mlipofanya wizi wa kutisha? toa upupu wako hapa
Tunaomba amani iliyopo iendelee kutawala ili watu wapige kura kwa amani na matokeo yatolewe kwa wakati ili tuachane na propago za huko.
Mtatilo live chanel 10 aisifia polisi na anasema wapiga kura wachache sana na inaweza kuwa chini ya waliopiga kura mwaka jana.
Hata yeye alikua anajifanya simba, leo umeona mpaka ndevu amenyoa. Sasa wewe unafikiri Slaa tutamfanya nini?Kwa nini Sharif Hamad alinyoa ndevu baada ya kupewa umakamu rais???
au ndio ndoa tena........nani kidume sasa kama wote mna mandevu??