Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Habari zimenifikia kuwa SLAA yuko hoi na presha, wanacdm wanaomba dua zote CDM ishinde lasivyo kesho kutakuwa na kilio kikubwa cha huyu mzee. Umebaki uzi tu. CDM wote hapa JF ombeni dua.
kama ni presha si zingempanda mwaka jana mlipofanya wizi wa kutisha? toa upupu wako hapa
 
Mtatilo live chanel 10 aisifia polisi na anasema wapiga kura wachache sana na inaweza kuwa chini ya waliopiga kura mwaka jana.
 
hoyo mama anaweza kufungua case mahakamani kwa sabab ni haki yake ya kikatiba kupiga kula vile vile hii kama defamation hivi? nyinyi wadau mnasemaje?
Ni kweli anaweza kufungua kese ila kura kapiga. Hafu usidhani hawa mabalozi hupewa hela ya maana ovyo kabisa utakuta wanapewa elfu kumi. Tuwaelimishe tu na kuwaombea.
 
Raha ya kampeni ni matokeo mazuri, positive election on your side. CDM tunalitarajia hili.
 
Kwa mwana JF aliye na ndugu, jamaa au rafiki Igunga ambaye ni mwanamke au mzee ni vizuri ukatumia haya masaa machache yaliyobaki kumsihi abakie tu nyumbani kwani hali inaonyesha hesabu ya CDM inaelekea kutimia. Uthibitisho ni uoga alioupata Mwigulu baada ya kuona vijana wako mita 200 wanasuburi muda wa kulinda kura zao.
 
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.

twahil,twahil, twahil kwanini uusemee moyo wako? kama kweli dhihilisha ili zambi ya kufa imrudie huyu mama.
 
Analalamikia vifaa kuwa ni vichache hata kalamu hakuna.
 
Mbona unajishakia kijana, mimi nimeuliza kama unao uwezo wa hiyo laki na kama huna basi una mbuzi au ng'ombe. Mwanaume mzima unajishakia bure. Au ndio umeshazoea kutongozwa nini?
Misemo ya kishosti flani ivi.
 
Anasema vituo vingi viongozi wa ccm ndiyo wasimamizi wa uchaguzi.kuna vituo mtoto wa kafumu pia ni msimamizi wa uchaguzi?je mwana jf unalionaje hili?
 
Habari zimenifikia kuwa SLAA yuko hoi na presha, wanacdm wanaomba dua zote CDM ishinde lasivyo kesho kutakuwa na kilio kikubwa cha huyu mzee. Umebaki uzi tu. CDM wote hapa JF ombeni dua.
Kwa nini Sharif Hamad alinyoa ndevu baada ya kupewa umakamu rais???
au ndio ndoa tena........nani kidume sasa kama wote mna mandevu??
 
julius mtatiro anasema kuna vituo ambavyo msimamizi wa uchaguzi ni mtoto wa mgombea wa uchaguzi wa ccm,sehemu nyingine ni mwnywkiti wa ccm wa kijiji jilani.alikua akiongea na chl10.mia
 
Tunaomba amani iliyopo iendelee kutawala ili watu wapige kura kwa amani na matokeo yatolewe kwa wakati ili tuachane na propago za huko.


Kweli tunaomba amani leo itawale leo Igunga
 
Mtatilo live chanel 10 aisifia polisi na anasema wapiga kura wachache sana na inaweza kuwa chini ya waliopiga kura mwaka jana.

Jamani hili ni tatizo sugu kwa nchi yetu kwanini watu hawajitokezi kupiga kura inasikitisha sana. ila ukiwauliza watu kwanini hawapigi kura wanasema hata ukimchagua mtu flani huwa hawashindi wanalaani tabia ya ccm kuwachagulia viongozi ndomana huwa hawajitokezi.
 
Kaanza kuilaumu mifumo ya tume ya uchaguzi,kwa nini mkurugenzi anakuwa msimamizi wa uchaguzi?haki inapungua.jamaa analalamika sana.
 
Kwa nini Sharif Hamad alinyoa ndevu baada ya kupewa umakamu rais???
au ndio ndoa tena........nani kidume sasa kama wote mna mandevu??
Hata yeye alikua anajifanya simba, leo umeona mpaka ndevu amenyoa. Sasa wewe unafikiri Slaa tutamfanya nini?
 
Nimekuwa nikifuatilia Igunga kwa masaa 24 mfululizo. Ninapoenda kujipumzisha kidogo nina uhakika wa kutosha kuwa wananchi wa Igunga wanaweza kutuma ujumbe mmoja ambao mwangwi wake utatetemesha watu wengi katika siasa za nchi yetu. Ujumbe ambao waweza kuwa kama pigo la shoka la Umsolopagas ambalo busu lake wengi walilihofia. Nilikuwa na wasiwasi mwanzoni sidhani kama mbinu zote za suppression of votes zitaweza kuzuia kile ambacho chaja.

Alamsiki!!! (pitia Youtube na Fikrapevu.com) kwa habari nyingi na sauti kutoka Igunga...
 
ni kati ya Fatuma yule DC aka mfunga nguruwe....
Kama huyu mdudu2.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom