Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
julius mtatiro anasema kuna vituo ambavyo msimamizi wa uchaguzi ni mtoto wa mgombea wa uchaguzi wa ccm,sehemu nyingine ni mwnywkiti wa ccm wa kijiji jilani.alikua akiongea na chl10.mia
Kwa nini Sharif Hamad alinyoa ndevu baada ya kupewa umakamu rais???
au ndio ndoa tena........nani kidume sasa kama wote mna mandevu??
Wewe na nani??Zingatia matumizi ya wingi na umoja.Hata yeye alikua anajifanya simba, leo umeona mpaka ndevu amenyoa. Sasa wewe unafikiri Slaa tutamfanya nini?
vimeshatokea vyote.kunasehemu mvua kubwa sana imenyesha na baadhi ya wapiga kura wanashindwa kwenda.ngeleja kaondoka muda mrefu tu so hakuna umeme.
Mkuu naona unaisogelea ban kwa speed ya kimbunga!!!!
mkurugenzi ameagiza wajaze form namba 17,then wapige kura.but magamba wanachukulia udhaifuu huu kuzuia watu.
Okey naomba nikuagize kwa JK kijana, kamwambie atakaeleta uvunjifu wa haki atasulubiwa.Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.
hivi bado kunawatu mnaozichukulia serious kauli za huyu kigego JK!?au na nyie ni vigego wenzie nn?am jus sayin
Siyo habari nzuri sana lakini hao hao walijitokeza wanatosha kuwaamulia hao waliozubaa.Jamani hili ni tatizo sugu kwa nchi yetu kwanini watu hawajitokezi kupiga kura inasikitisha sana. ila ukiwauliza watu kwanini hawapigi kura wanasema hata ukimchagua mtu flani huwa hawashindi wanalaani tabia ya ccm kuwachagulia viongozi ndomana huwa hawajitokezi.
Utakuja na ID nyingineCdm wakishinda nami nitajitoa rasmi kuchangia hapa jamvini
alichezewa mchezo mbaya na 50 cent
Mama huyu anastaili kuwa mfano mzuri kwa kina mama, Amedhihirisha kuwa anauwezo wa kufanya maamuzi huru na makini kuliko Mama yake mtu flani humu anayemuombea kanga na vilemba.Mda mfupi uliopita nilikuwa natizama TBC wakimuhoji mama mmoja aliye jitambulisha kwa jina la Mwajuma Shabani, amedai kuwa walilazimishwa na balozi wa nyumba kumi ambaye alikuwa anaorodhesha majina na namba za vitambulisho vyao kukipigia kura chama flani ambacho hakikitaja jina, Mwisho kamalizia kwa kusema kuwa amekipigia chama anachokipenda na siyo kile alichokuwa akilazimishwa kukipigia kura..
Inapendeza sana kuona hakina mama nao hawako nyuma wanasimama kutetea kile wanacho amini ni sahihi kwa licha ya vitisho vyote hivyo walivyopewa, Hakika elimu ya Makamanda wetu imewaingia vizuri ndugu zetu wa Igunga..
Nampongeza huyu mama kwa kuwa jasiri, wanaohusika natumaini wamemsikia huyu mama sasa niwakati wakumchukulia hatua huyo balozi na aeleze hizo namba za shahada alikuwa anazichukua za nini?na kwa nini awatishe watu.
Kama kawaida yenu...mnawaza tu kuibiwa
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.