Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
julius mtatiro anasema kuna vituo ambavyo msimamizi wa uchaguzi ni mtoto wa mgombea wa uchaguzi wa ccm,sehemu nyingine ni mwnywkiti wa ccm wa kijiji jilani.alikua akiongea na chl10.mia

CCM kawaida yao kufanya ubabe na kubaka democrasia. Tutafika waache wazingue kwasasa
 
Kwa nini Sharif Hamad alinyoa ndevu baada ya kupewa umakamu rais???
au ndio ndoa tena........nani kidume sasa kama wote mna mandevu??

Ulishaona mke mwenye ndevu kwa mumewe????
 
Aende Mahakamani ili siku nyingine iwe fundisho kwa mabalozi na CCM kwa ujinga wanoufanya.
 
vimeshatokea vyote.kunasehemu mvua kubwa sana imenyesha na baadhi ya wapiga kura wanashindwa kwenda.ngeleja kaondoka muda mrefu tu so hakuna umeme.

Mvua ni dalili nzuri kwa ushindi dhidi ya Wakoloni na madhalimu, hata wakati wa uhuru kura za kumg'oa mkoloni mweupe mvua ilinyesha kubwa sana, Mungu yupo upande wetu, lindeni kura na simamieni hadi bila woga wowote.
 
Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.

hivi bado kunawatu mnaozichukulia serious kauli za huyu kigego JK!?au na nyie ni vigego wenzie nn?am jus sayin
 
Mkurugenzi yuko live chanel 10 na anasema kuanzia sa11 leo ataanza kutoa matokeo.tusubiri.
 
Mda mfupi uliopita nilikuwa natizama TBC wakimuhoji mama mmoja aliye jitambulisha kwa jina la Mwajuma Shabani, amedai kuwa walilazimishwa na balozi wa nyumba kumi ambaye alikuwa anaorodhesha majina na namba za vitambulisho vyao kukipigia kura chama flani ambacho hakikitaja jina, Mwisho kamalizia kwa kusema kuwa amekipigia chama anachokipenda na siyo kile alichokuwa akilazimishwa kukipigia kura..

Inapendeza sana kuona hakina mama nao hawako nyuma wanasimama kutetea kile wanacho amini ni sahihi kwa licha ya vitisho vyote hivyo walivyopewa, Hakika elimu ya Makamanda wetu imewaingia vizuri ndugu zetu wa Igunga..

Nampongeza huyu mama kwa kuwa jasiri, wanaohusika natumaini wamemsikia huyu mama sasa niwakati wakumchukulia hatua huyo balozi na aeleze hizo namba za shahada alikuwa anazichukua za nini?na kwa nini awatishe watu.
 
mkurugenzi ameagiza wajaze form namba 17,then wapige kura.but magamba wanachukulia udhaifuu huu kuzuia watu.

Nadhani Chadema wange kataa hili la wapiga kura waliopoteza kadi zao, hii inaweza kutoa nafasi ya wizi wa kura hasa kama hawa wezi waliweka majina ya watu wao ambao hawakuwa na kadi za kupigia kura. Wanaweza kuwa walileta vijana wao toka sehemu mbali mbali ambao hawana kadi ila walipachika majina katika orodha ya wapiga kura. Na nini zaidi kinatumika kama utambulisho wa Mkazi pale anapokuja na dai la kuwepo jina lake huku hana kadi.
 
Juzi nimemsikia JMK akisema ataeleta uvunjifu wa amani atashughulikiwa. Watu wa fujo wanajulikaa na wamedhibitiwa.

hivi bado kunawatu mnaozichukulia serious kauli za huyu kigego JK!?au na nyie ni vigego wenzie nn?am jus sayin
Okey naomba nikuagize kwa JK kijana, kamwambie atakaeleta uvunjifu wa haki atasulubiwa.
 
Jamani hili ni tatizo sugu kwa nchi yetu kwanini watu hawajitokezi kupiga kura inasikitisha sana. ila ukiwauliza watu kwanini hawapigi kura wanasema hata ukimchagua mtu flani huwa hawashindi wanalaani tabia ya ccm kuwachagulia viongozi ndomana huwa hawajitokezi.
Siyo habari nzuri sana lakini hao hao walijitokeza wanatosha kuwaamulia hao waliozubaa.
 
Kitu nilichokigundua kumbe uchaguzi sio siku ya kupiga kura.

Uchaguzi uwa unaanza taingia pale siku ya kujiandikisha ni kujidanganya eti kusimama siku ya kupiga kura ndio siku ya kulinda kura, ebu tujiulize nani anajua matumizi ya form namba 17 kazi yake nini? Na kuna watu wengi watarudi nyumbani bila kupiga kura sababu majina yao hayafanani na yale yalibandikwa, na vijana wengi wanauza kadi zao za kupigia kura
 
Mda mfupi uliopita nilikuwa natizama TBC wakimuhoji mama mmoja aliye jitambulisha kwa jina la Mwajuma Shabani, amedai kuwa walilazimishwa na balozi wa nyumba kumi ambaye alikuwa anaorodhesha majina na namba za vitambulisho vyao kukipigia kura chama flani ambacho hakikitaja jina, Mwisho kamalizia kwa kusema kuwa amekipigia chama anachokipenda na siyo kile alichokuwa akilazimishwa kukipigia kura..

Inapendeza sana kuona hakina mama nao hawako nyuma wanasimama kutetea kile wanacho amini ni sahihi kwa licha ya vitisho vyote hivyo walivyopewa, Hakika elimu ya Makamanda wetu imewaingia vizuri ndugu zetu wa Igunga..

Nampongeza huyu mama kwa kuwa jasiri, wanaohusika natumaini wamemsikia huyu mama sasa niwakati wakumchukulia hatua huyo balozi na aeleze hizo namba za shahada alikuwa anazichukua za nini?na kwa nini awatishe watu.
Mama huyu anastaili kuwa mfano mzuri kwa kina mama, Amedhihirisha kuwa anauwezo wa kufanya maamuzi huru na makini kuliko Mama yake mtu flani humu anayemuombea kanga na vilemba.
 
Katika hali kama hii, kuna kila sababu ya CCM kutumia extra force kutafuta ushindi. Why??? Kujivua gamba kwa RA, kufanyika uchaguzi mpya na hatimaye CCM kupoteza Jimbo ina maana ni mwanzo wa mwisho wa dhana ya kujivua gamba ndani ya CCM. Sasa kuna makundi mawili. Wale wanaosapoti kujivua gamba leo wapo na CHADEMA. Wale wanaopinga wapo na CCM. CDM tunashinda uchaguzi huo kutokana na mgawanyiko uliopo. Mnasemaje wadau???
 
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.

Wewe unadhani kuna watu wenye akili zao ambao bado wanaamini msemacho nyie ccm?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom