Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Ngoja nisikie anaongea nini?John Tendwa live tbc1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nisikie anaongea nini?John Tendwa live tbc1
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.
Mama mmoja Igunga atoa ushuuda kwamba ameenda kupiga kura akakuta ameandikwa kwenye orodha ya waliokufa: akisimulia zaidi anasema alikuwa na msuguano wa muda mrefu na balozi wa nyumba kumikumi baada ya balozi huo kumwomba shahada yake ya kupigia kura ili ichukuliwe namba naye mama kukataa.
Swali linakuja: hawa mabalozi wenye tabia kama hizi watatufikisha wapi??
Source TBC1 live.
asante sana mkuumpaka sasa mawakala wa CDM wapo imara zaidi coz wengi wao ni wanavyuo vikuu kutoka UDOM,UDSM MZUMBE na kwingneko na wenye ufahamu mzuri wa computer na kujali zaidi maslahi ya wanaigunga na sio kweli kuwa kna mama ndio wengi hapa naona wengi vijana na wapo kwenye foleni huku kina mama wakija kwa kuchungulia foleni imeisha au bado hzo ndizo updates mpaka ss hv!
Unapodeal na CCM unakajifanya unadumisha amani na mshikamano, wao wanapita katikati ya umbumbu wako. Wale ni wanaharamu, tena mbaya zaidi wanajua hawapendwi isipokuwa na wajinga na masikini. CHADEMA jitahidini kula nao sahani moja tuone watapitia wapi.
Hapa JF tutaanza kuzitoa kuanzia saa moja jioni hizi za vituo na mpaka saa tano matokeo ya kata yataanza kuanikwa.....kifupi ngoma mpaka asubhi tutakuwa tumesha juaMatokeo yanatangazwa saa ngapi?
John Tendwa live tbc1
Kumbe hata CHADEMA wana DC, Kazi kwelikweli!Nani hao? CHADEMA?
Armed struggle ndiyo option pekee ilibaki kwa Watanganyika. Katika hali ya kawaida kwa nini huyo balozi asiuawe?
Kama ni hivyo kufikia saa sita usiku tutakuwa tumejua chama kilichoshinda!Hapa JF tutaanza kuzitoa kuanzia saa moja jioni hizi za vituo na mpaka saa tano matokeo ya kata yataanza kuanikwa.....kifupi ngoma mpaka asubhi tutakuwa tumesha jua
Hii ilikuwa Igunga au sehemu nyingine?