Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.

Gubu hilo kwa kushindwa kwenda Igunga, hahaha ahaha ahahah. RA kidumeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! bwahaha ahaha ahahaha!!!!
 
Mama mmoja Igunga atoa ushuuda kwamba ameenda kupiga kura akakuta ameandikwa kwenye orodha ya waliokufa: akisimulia zaidi anasema alikuwa na msuguano wa muda mrefu na balozi wa nyumba kumikumi baada ya balozi huo kumwomba shahada yake ya kupigia kura ili ichukuliwe namba naye mama kukataa.
Swali linakuja: hawa mabalozi wenye tabia kama hizi watatufikisha wapi??
Source TBC1 live.

Kudadeki, CCM wajue watu wamechoka. this time watabanwa kila idara zao za uchakachuaji.
 
mpaka sasa mawakala wa CDM wapo imara zaidi coz wengi wao ni wanavyuo vikuu kutoka UDOM,UDSM MZUMBE na kwingneko na wenye ufahamu mzuri wa computer na kujali zaidi maslahi ya wanaigunga na sio kweli kuwa kna mama ndio wengi hapa naona wengi vijana na wapo kwenye foleni huku kina mama wakija kwa kuchungulia foleni imeisha au bado hzo ndizo updates mpaka ss hv!
asante sana mkuu
 
Unapodeal na CCM unakajifanya unadumisha amani na mshikamano, wao wanapita katikati ya umbumbu wako. Wale ni wanaharamu, tena mbaya zaidi wanajua hawapendwi isipokuwa na wajinga na masikini. CHADEMA jitahidini kula nao sahani moja tuone watapitia wapi.

ni kweli ccm inapendwa na maskini,bahati mbaya imevamiwa na matajiri..
 
attachment.php

Duuuuh enzi zile ukiona picha kama hii, basi kuna msemo mmoja tu ukiona nipo kimya basi jua nimekubali weee.
 
we fidel umeishiwa chaji..ngereja hayupo....ngoja nifanye mishe mishe nikutumie ki galaxy changu....
 
Matokeo yanatangazwa saa ngapi?
Hapa JF tutaanza kuzitoa kuanzia saa moja jioni hizi za vituo na mpaka saa tano matokeo ya kata yataanza kuanikwa.....kifupi ngoma mpaka asubhi tutakuwa tumesha jua
 
Armed struggle ndiyo option pekee ilibaki kwa Watanganyika. Katika hali ya kawaida kwa nini huyo balozi asiuawe?

wewe ni mnyama ulievaa sura ya binadam..u mean ur last option ni kuua?..kinachotakiwa kuendelea kuuelimisha umma sio kuua mkuu.
 
Hapa JF tutaanza kuzitoa kuanzia saa moja jioni hizi za vituo na mpaka saa tano matokeo ya kata yataanza kuanikwa.....kifupi ngoma mpaka asubhi tutakuwa tumesha jua
Kama ni hivyo kufikia saa sita usiku tutakuwa tumejua chama kilichoshinda!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom