Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 814
Nyani haoni kundule, Mkapa na Mtei au Bob Makani nani mzee zaidi? Mtu akipenda....
Hawa wazee wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura Igunga tofauti na vijana, labda na vijana wanasubiri hadi wazeeke, kupanga ni kuchagua.
Baadhi ya vituo wameanza kujipanga ili kuanza kuhesabu kura, zoezi linaanza ifikapo saa kumi kamili, mungu awajaze nguvu na ujasili wa hali ya juu, amen
News Alert: Kikwete eyes Kafumu as Ngeleja's successor.
mungu ibariki chadema.
...mbona wewe umebaki kusisitizia kitu hicho hicho tu? propaganda hizi zina maana gani?
...mbona wewe umebaki kusisitizia kitu hicho hicho tu? propaganda hizi zina maana gani?
Huyo wa Jikoni wake ESTHER wa TBC???? Ndio amemwambia huyu gamba jipya kuwa ''wazee na kina mama wanazidi kujitokeza kwa wingi, vijana ni wachache sana.''???. Go to hell with your TBC and CCM.
Mimi nina wadau kibao nawasiliana nao huko Igunga na wanasema vijana wameamka sana.. anyone buying this Idea ya Oh, vijana wachache ana Element za wehu.
Kichenchede kingine hiki.
Hiyo mikoa uayoitaja, next time itakuwa zaidi ya kumi.
Vijana wengi hawajajiandikisha jamani.