figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Upigaji kura umeisha, kazi iliyobaki ni ya kulinda kura. Wa Jikoni wangu kaniambia vijana wamekaa mita 200 toka vituoni kwa ajili ya kulinda kura. Hawarudi nyumbani kama walivyokuwa wanafanya zamani. Pia ameona bar maids wakiwa na wino vidoleni kuonyesha wamepiga kura, propaganda za vijana hawajajitokeza ni kujifariji kwa magamba.
There are currently 1164 users browsing this thread. (265 members and 899 guests)
nchemba anasema ktk kata ya Nhongo kuna mwanamke kapewa karatasi ya kura huku ikiwa imetikiwa sehemu ya mgombea wa chadema je hii ni kweli???? Source Chanel 10
Kama hizo hela zilikuwa ni za halali kwa nini wakimbie? na kama zilikuwa za mawakala siwangeonyesha majina na kiasi chao pamoja na saini zao? uwongo mtupu wa nchemba wamebanwa hao hawana pa kutokea.Mwigulu anaihutumu chadema na anataja vijiji ambavyo Chadema wamenunua pombe instead ya kujibu tuhuma za kukutwa na hela anaendelea kudai walikimbia coz Chadema ni watu wa vurugu
Mwigulu Nchemba anasema ktk kata ya Nhongo kuna mwanamke kapewa karatasi ya kura huku ikiwa imetikiwa sehemu ya mgombea wa chadema je hii ni kweli????
Source: Channel 10
anasema kuna mwanachama wao amekatwa kichwa, wengine wamekatwakatwa mapanga, jamani haya matukio makubwa waandishi wa habari wote waliokua wanaripoti live ndokusema hawajayasikia isipokua yeye??? huyu jamaa mbona anataka mimi nipigwe ban humu.