Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
ccm wana visa sana hasa huyu mwigulu anabwabwaja sana
 
Yahya wa star tv anaongea kwamba kuna watu wameshaanza kupita kwenye mitandao na kuanza kusema vyama fulani wameshinda.
 
Naona CNN na BBC nao wameanza kutangaza matokeo ya uchaguzi wa Igunga. Kumbe haka kauchaguzi kamegusa hisia za watu wengi eeh?
 
Channel ten live
Mbowe anasema kun amambo mengi ya kujifunza
CCM walikuwa wananunua shahada
Kuna ushirika kati ya NEC na CCM Kaunda kuiba kura
 
hivi kuna mtu hakipendi ccm kama mimi?? yani wakishinda leo kwa njia yeyote ile najipiga ban kula siku tatu.
 
Mbowe,CHADEMA imeweza kudhibiti vitendo vya rushwa
wametoa taarifa TAKUKURU lakini hakuna kilichotokea
 
mtangazaji wa itv bwana kabendera anareport kwamba msimamizi wa uchaguzi joseph rugayane kasema kutokana na mvua inavyoendelea kunyesha matokeo yataanza kutangazwa labda kuanzia saa nne na kuendelea.mia
 
Star tv wanasema matokeo ya baadhi ya vituo tayari yametangazwa ila wanasema serikali imewa zuia kutoa matokeo ya awali.
 
Mbowe anashangaa wafuasi wa chadema wanawapeleka watoa rushwa polisi matokeo yake wao wanawekwa ndani halafu wa ccm wanaachwa
 
napiga magoti hizi habari ziwe kweli!
 
hana adabu hat kidogo mzinzi mkubwa yule..

mwigulu anataka kuwahamisha watu wasijadili lile gari lenye million 20. vilevile kama wamekatwa hiyo ni polisi kesi anatuletea hapa ya nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…