Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Karibuni Gymkana hapa!
Tunafuatilia uchaguzi live..
 
Mtangazaji anasema alikuwa anachungulia JF, wanaJF wanasema kuna watu watakimbia jukwaa kuanzia muda wa saa tano. Hili limenifurahisha kuona JF ni mtandao pendwa JF hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Saa saba watasitisha matangazo ya Igunga lakini saa saba na nusu watajiunga tena na matangazo haya ya moja kwa moja.
 
magamba wanafitina ucpime wakiona fitna zao zimeshindikana wanakwambia sio raia ii ndo danganyika bwana.
 
Unajikomoa wewe mwenyewe, watoto wako na ndugu zako wote kutokana na ujuha wako. Kwa ufinyu wa akili yako unadhani unaikomoa CDM.

anazingua huyo yuko zenji cjui kakini kama zenji nako kama kuna uchaguzi teh teh teh.......
 
Mtangazaji anasema alikuwa anachungulia JF, wanaJF wanasema kuna watu watakimbia jukwaa kuanzia muda wa saa tano. Hili limenifurahisha kuona JF ni mtandao pendwa JF hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee.

alikuwa akimaanisha gani?
 
hofu yangu ni usalama wa huyu mama kwa kuwa habari kama hii haiwafuraishi kabisa magamba na mapro-magamba, hata pale tbc kama umeona hawajacomment chochote kuhusu hii issue, ila wamecomment mambo kama kusubiri kulinda kura kwakuwa wanajua inawahusu chadema.

Chochote kitakacho mpata huyu mama kwa kipindi hiki tuajua moja kwa moja wahusika ni balozi na chama chake waliokuwa wanawalazimisha wapigiwe kura.

Kwa hali ya sasa watu hawaogopi kufanyiwa mabaya kisa tu wameongea ukweli, yule mama amewafungua sana wanawake wangi na watu wote waliokuwa wanakandamizwa kwa mtindo huo...

Ukimtizama yule mama ameongea kwa kujiamini sana pasipo kuogopa chochote kitakacho mtokea, ni imani yangu kwamba hakuna yoyote atakaye jaribu kumsumbua huyu shujaa wangu.
 
Ni kweli anaweza kufungua kese ila kura kapiga. Hafu usidhani hawa mabalozi hupewa hela ya maana ovyo kabisa utakuta wanapewa elfu kumi. Tuwaelimishe tu na kuwaombea.
Kwani hata Yuda wa Iskariote alipewa dinari nyingi ili amsaliti Yesu? Ni pesa kidogo, inanunua utu wako, ni kama viongozi wetu wanapoingia mikataba mibovu wananunuliwa kwa billion moja mbili wakati nchi imeshauzwa tayari.
 
hauoni kuwa mnawakosesha haki yao ya kupiga kura?
Nawashauri mara nyingine msirudie hiyo dhambi, jaribuni kuwaelimisha then muwape nafasi ya kuchagua hatima ya masha yao. Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli!!!!

wanawake wengi huwa hawaelewi hata ukiwapa facts. Mi mwenyewe niliwaibia maza na wanawe mwaka jana baada ya kuona wagumu kuelewa. Wanashikilia tu kauli za magamba kwamba ukichagua upinzani vita itatokea
 
mwaka jana pale mwanza tulipiga kura kwa amani...lakini ilipofika jion wakaanza kugoma matokeo na kila mtu nadhani anakumbuka kilichotokea pale nyamagana
 
TBC imeripoti zoezi la kupiga kura Igunga na kumwonyesha mwanamke anayejipambanua kuwa ni wa cdm ambaye amesema balozi mmoja wa nyumba kumi kareport kuwa yeye kafariki dunia ili asipige kura kwa kuwa alikataa kuiunga mkono CCM. Haya ni mambo ya aibu kwa nn watu walazimishwe, hiyo demokrasia ipo wapi. CCM mbinu za aina hii za kizamani sana sasa ni aibu tupu

Nimemwona Bi Mwajuma Shaabani kwakweli........anaongea kwa ujasiri na anaonyesha ana uhakika na anachosema.
 
hofu yangu ni usalama wa huyu mama kwa kuwa habari kama hii haiwafuraishi kabisa magamba na mapro-magamba, hata pale tbc kama umeona hawajacomment chochote kuhusu hii issue, ila wamecomment mambo kama kusubiri kulinda kura kwakuwa wanajua inawahusu chadema.

Chochote kitakacho mpata huyu mama kwa kipindi hiki tuajua moja kwa moja wahusika ni balozi na chama chake waliokuwa wanawalazimisha wapigiwe kura.

Kwa hali ya sasa watu hawaogopi kufanyiwa mabaya kisa tu wameongea ukweli, yule mama amewafungua sana wanawake wangi na watu wote waliokuwa wanakandamizwa kwa mtindo huo...

Ukimtizama yule mama ameongea kwa kujiamini sana pasipo kuogopa chochote kitakacho mtokea, ni imani yangu kwamba hakuna yoyote atakaye jaribu kumsumbua huyu shujaa wangu.
 
hii tabia huwa inanikera sana hasa uninapo kuta natumia simu sasa unapotuwekea majina ili iweje mnawapa shida bure wanao tumia simu ambao kwa siku ya leo ni wengi sana....PLS

kweli mzazi mi kachaji ndo kanaishia ishia duh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom