Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajikomoa wewe mwenyewe, watoto wako na ndugu zako wote kutokana na ujuha wako. Kwa ufinyu wa akili yako unadhani unaikomoa CDM.
Tatizo Ccm wezi na wamezoea kuiba
Mtangazaji anasema alikuwa anachungulia JF, wanaJF wanasema kuna watu watakimbia jukwaa kuanzia muda wa saa tano. Hili limenifurahisha kuona JF ni mtandao pendwa JF hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee.
hofu yangu ni usalama wa huyu mama kwa kuwa habari kama hii haiwafuraishi kabisa magamba na mapro-magamba, hata pale tbc kama umeona hawajacomment chochote kuhusu hii issue, ila wamecomment mambo kama kusubiri kulinda kura kwakuwa wanajua inawahusu chadema.
kama kawaida yenu mnawaza kuibaKama kawaida yenu...mnawaza tu kuibiwa
Itakuwa vema tena utakua umepunguza ugoro humu JFCdm wakishinda nami nitajitoa rasmi kuchangia hapa jamvini
Kwani hata Yuda wa Iskariote alipewa dinari nyingi ili amsaliti Yesu? Ni pesa kidogo, inanunua utu wako, ni kama viongozi wetu wanapoingia mikataba mibovu wananunuliwa kwa billion moja mbili wakati nchi imeshauzwa tayari.Ni kweli anaweza kufungua kese ila kura kapiga. Hafu usidhani hawa mabalozi hupewa hela ya maana ovyo kabisa utakuta wanapewa elfu kumi. Tuwaelimishe tu na kuwaombea.
duh! mkubwa hukumu yakomkali saanaArmed struggle ndiyo option pekee ilibaki kwa Watanganyika. Katika hali ya kawaida kwa nini huyo balozi asiuawe?
Kila mtu ana TV yake humu.Karibuni Gymkana hapa!
Tunafuatilia uchaguzi live..
hauoni kuwa mnawakosesha haki yao ya kupiga kura?
Nawashauri mara nyingine msirudie hiyo dhambi, jaribuni kuwaelimisha then muwape nafasi ya kuchagua hatima ya masha yao. Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli!!!!
TBC imeripoti zoezi la kupiga kura Igunga na kumwonyesha mwanamke anayejipambanua kuwa ni wa cdm ambaye amesema balozi mmoja wa nyumba kumi kareport kuwa yeye kafariki dunia ili asipige kura kwa kuwa alikataa kuiunga mkono CCM. Haya ni mambo ya aibu kwa nn watu walazimishwe, hiyo demokrasia ipo wapi. CCM mbinu za aina hii za kizamani sana sasa ni aibu tupu
hofu yangu ni usalama wa huyu mama kwa kuwa habari kama hii haiwafuraishi kabisa magamba na mapro-magamba, hata pale tbc kama umeona hawajacomment chochote kuhusu hii issue, ila wamecomment mambo kama kusubiri kulinda kura kwakuwa wanajua inawahusu chadema.
Siasa za maji ya chooni zimekujaa kichwani.CDM majambazi basi
hii tabia huwa inanikera sana hasa uninapo kuta natumia simu sasa unapotuwekea majina ili iweje mnawapa shida bure wanao tumia simu ambao kwa siku ya leo ni wengi sana....PLS
Hawa ndio wanafahamu demokrasia. Hawana ushabiki usio na Tija. Hawa ndio watakaotupa ushindi cuz ni wapenda amani.