Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Clemmy, shukuru unaishi jirani na mimi meneja Ugavi Tanesco! La si hivyo ungekuwa unalia na wewe!Honestly tanesco wame nipendelea sana ingawa naishi uswahilini.
Ni kama week 3 sasa umeme umekatika jana saa3 usiku na ukarudi saa11.
Otherwise naenjoy tu,....