Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Honestly tanesco wame nipendelea sana ingawa naishi uswahilini.
Ni kama week 3 sasa umeme umekatika jana saa3 usiku na ukarudi saa11.
Otherwise naenjoy tu,....
Clemmy, shukuru unaishi jirani na mimi meneja Ugavi Tanesco! La si hivyo ungekuwa unalia na wewe!
 
twahil,twahil, twahil kwanini uusemee moyo wako? kama kweli dhihilisha ili zambi ya kufa imrudie huyu mama.

ukweli uachwe utamalaki hata kama wewe ni mwanaccm kwani hayo hayafanyiki? Hadi siku afanyiwe mamaako mzazi labda wavutaunga wa green guard wamfanye vibaya mama mzazi ndo utajua kama anatumika na cdm au lah. Tunataka mshindi atangazwe bila mizengwe hata kama atashinda CCM bila mizengwe atangazwe tu kwa uwazi japo Mkapa anasema ni lazima tunajua yeye damu za watu alishazizoea ziwe za kafara ama za kuagiza kuuuwa kama zile za Pemba
 
Siri imefichuka,tbc live,wananchi wengi igunga hawajui kusoma na kuandika so hawawezi kupiga kura.pia walio wengi hawajui lugha ya kiswahili sn asipokuwepo mkalimani hawapigi kura.umeona miaka 50 ya uhuru?
 
310368_168670419884648_100002250723482_361130_533335401_n.jpg


watu wameshachoka kupigiwa magoti, maendeleo hakuna
wabunge wa ccm kazi yao kukusanya watoto na kuwazingua kama huyu
 
Mkakati wa Nape ni kumwaga wafuasi wake leo humu kwenye jamvi ili kumwaga upupu wao tu!! sijui hii ni kufanya kampeni au kukatisha wanajamvi tamaa ili uchakachuaji ukifanyika usionekane kirahisi kwa kuwa watun watakuwa wameaminishwa kwamba Magamba watashinda!
 
Mtangazaji anasema alikuwa anachungulia JF, wanaJF wanasema kuna watu watakimbia jukwaa kuanzia muda wa saa tano. Hili limenifurahisha kuona JF ni mtandao pendwa JF hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee. Saa saba watasitisha matangazo ya Igunga lakini saa saba na nusu watajiunga tena na matangazo haya ya moja kwa moja.
Mkuu, JF inatisha huku maofisini ni JF....
 
Nimemwona Bi Mwajuma Shaabani kwakweli........anaongea kwa ujasiri na anaonyesha ana uhakika na anachosema.

Kwakweli napata matumaini Makubwa; wale wanaosema wamama ni dhaifu wako wapi? Wale waliosema waislamu hawaitaichagua cdm wako wapi? Wanaosema kina mama wanamunuliwa na khanga na Tshirt wako wapi?

It is a new day kwa Tanzania!
 
Mkakati wa Nape ni kumwaga wafuasi wake leo humu kwenye jamvi ili kumwaga upupu wao tu!! sijui hii ni kufanya kampeni au kukatisha wanajamvi tamaa ili uchakachuaji ukifanyika usionekane kirahisi kwa kuwa watun watakuwa wameaminishwa kwamba Magamba watashinda!
Hali ni tete,vikao haviishi:

attachment.php
 
ikifoka jion ndo utaju kama kweli uchaguzi ulukuwa wa amani.......
 
mpaka sasa mawakala wa CDM wapo imara zaidi coz wengi wao ni wanavyuo vikuu kutoka UDOM,UDSM MZUMBE na kwingneko na wenye ufahamu mzuri wa computer na kujali zaidi maslahi ya wanaigunga na sio kweli kuwa kna mama ndio wengi hapa naona wengi vijana na wapo kwenye foleni huku kina mama wakija kwa kuchungulia foleni imeisha au bado hzo ndizo updates mpaka ss hv!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom