Evart Niko hapaIngependeza awe mtu ambaye hajawahi kuonyesha mahaba na upande wowote.
Nimeitikia wito,kura yangu ni kwa my sweetheart The boldcc FaizaFoxy mshana jr Nyani Ngabu Elungata technically joanah everhurt @pasco kisu cha ngariba Katavi @Afrodezi shushushu VIP MKWEPA KODI @Lizabon @Mitochini falcon mombasa blessings miss chagga masamakwetu MziziMkavu warumi Nifah Ndetirima Root Mlaleo Saint Ivuga samsun Bullah Mwanahabari Huru Kongosho njooni humu mpendekeze wagombea
sawa mkuu,.. nitagombea mwaka 2018 nikishaona benefits za raisirais akipatkana litajulikana itamfanya awe member maarufu sana
Kumbe Faiza Fox Ni Mtt Mzur [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi Dume suruali ..Natangaza kugombea nafasi hii, Nawaahidi;
1)Mkinichagua kutakuwa hakuna Ban kwa yeyote yule
2)Nitakuwa natoa pesa za Vocha kila siku ili kila member aweze kuingia jf
3)kutokana na member wengi wa kiume(madomo zege) ambao wanatafuta watoto wazuri humu jf bila mafanikio, NATOA AHADI mkinichagua basi mimi nitawaunganishia moja kwa moja kwa demu unayemtaka humu jf (kwani nina phd ya kutongoza) hivyo basi watoto wazuri Kama akina
Miss Natafuta
miss chaga
Nifah
Evelyn Salt
Heaven Sent
faiza foxy
Mama facebuku
Joanah
Scorpio me .....etc ...
Kwani wote hawa nina namba zao
Nikiwa rais nawaahidi MTAWAPATA
Chagua dume suruali kwa maendeleo ya jamii forum.
_dume suruali_
Nimeshangaa sana Hata mimduh huyo faiza fox kumbe nae ni mtoto mzuri