Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

Chagua Transcend [emoji818]

Chagua Transced [emoji818]

Chagua Transcend [emoji818]

Chagua Transcend [emoji818]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mimi Dume suruali ..Natangaza kugombea nafasi hii, Nawaahidi;

1)Mkinichagua kutakuwa hakuna Ban kwa yeyote yule

2)Nitakuwa natoa pesa za Vocha kila siku ili kila member aweze kuingia jf

3)kutokana na member wengi wa kiume(madomo zege) ambao wanatafuta watoto wazuri humu jf bila mafanikio, NATOA AHADI mkinichagua basi mimi nitawaunganishia moja kwa moja kwa demu unayemtaka humu jf (kwani nina phd ya kutongoza) hivyo basi watoto wazuri Kama akina
Miss Natafuta
miss chaga
Nifah
Evelyn Salt
Heaven Sent
faiza foxy
Mama facebuku
Joanah
Scorpio me .....etc ...
Kwani wote hawa nina namba zao

Nikiwa rais nawaahidi MTAWAPATA
Chagua dume suruali kwa maendeleo ya jamii forum.

_dume suruali_
Kumbe Faiza Fox Ni Mtt Mzur [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Bibi Yule Mtoe Hapo ktk List Muweke Shunie

Mtt Mtam Mpaka kisigino
 
Mimi wacha nijikite katika kutunga kibao murua cha kampeni kuliko kile cha mbele kwa mbele .
 
Back
Top Bottom