Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

We chiboko
 
Rais mbona tunae kitambo

@Kiranga,simba!

The most enlivening and perspicacious member of Jf
 
Kaz za huyo rais na makamo wake ni nin?
 
Mm nitagombea upande wa tanzania visiwani...watu wa michenzani,mwanakerekwe,fuoni,makunduchi,chakechake,mjini magharibi na kwingineko naomba mnipe kura zenu
 
Me naona huyu mtuma Uzi atakuwa ametumwa baada ya Mello kugoma kutoa ID za wateja wake sasa huyu akimaliza kutafuta rais ataomba namba zake kisha rais atatafutwa kisha apelekwe Mikocheni akataje baadhi ya watu ambao anajua wanatumia jf
 
hahaaaa mwee shndwa na ulegee mm na fisiem wap na wap
 
Me naona huyu mtuma Uzi atakuwa ametumwa baada ya Mello kugoma kutoa ID za wateja wake sasa huyu akimaliza kutafuta rais ataomba namba zake kisha rais atatafutwa kisha apelekwe Mikocheni akataje baadhi ya watu ambao anajua wanatumia jf
hahaaa mm na fisiem wap na wap
 
Me naona huyu mtuma Uzi atakuwa ametumwa baada ya Mello kugoma kutoa ID za wateja wake sasa huyu akimaliza kutafuta rais ataomba namba zake kisha rais atatafutwa kisha apelekwe Mikocheni akataje baadhi ya watu ambao anajua wanatumia jf
hahaaaa mwee mm na fisiem wap na wap kwanza namba za nn?
 
pendekezeni watu mwisho ni leo saa kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…