Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

atakayetajwa zaid ama kupendekezwa na watu wengi kuliko wenzake ndo atakua rais wa jf
Kwahiyo unataka watu wafuate mawazo yako bila makubaliano? Uliwahi kuona wapi uchaguzi unafanywa ghafla kama unapiga chafya? Acha kutupeleka utakavyo kila jambo lzma liwe na maandalizi ya kutosha na si kukirupuka kama ulivyokurupuka mleta mada
 
Mkuu huyo atakuwa amelewa lusekelo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…