Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Wino ndio utaamua sio haters keep it upKaka haters hawapendi ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wino ndio utaamua sio haters keep it upKaka haters hawapendi ujue
Unafaa mkuuMkushi wa kusi
Mkuu umekosa wa kupendekezaa?[emoji15]
Nilichelewa mkuuMkuu umekosa wa kupendekezaa?
Hauna pingamizi ??Nilichelewa mkuu
Kwahiyo unataka watu wafuate mawazo yako bila makubaliano? Uliwahi kuona wapi uchaguzi unafanywa ghafla kama unapiga chafya? Acha kutupeleka utakavyo kila jambo lzma liwe na maandalizi ya kutosha na si kukirupuka kama ulivyokurupuka mleta madaatakayetajwa zaid ama kupendekezwa na watu wengi kuliko wenzake ndo atakua rais wa jf
Huyo rais ni wa nyumbani kwako?sahv ni.muda wa kuhesabu kura wa kwanza na wa pili kwa kupata kura nyingi ndo watakua wagombea wa jf
Mkuu huyo atakuwa amelewa lusekeloNajua watu watachaguana kwa umaarufu wao humu kuliko vigezo... kwanza we uliyeleta uzi ni km nani humu JF.. ???
Kiongozi anatakiwa kuwa...
Smart IQ
asiwe mwanasiasa
Awe active mara kwa mara
Asiwe na udini
Asiwe mtu wa serikali
Asiwe na umri zaid ya miaka 40 wala chini ya 25. N.k