Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

Hadi hapa nishaelewa kwa nini umeleta huu uzi, asante...

 
Duuh, ni unabii complicated sana huu kwa pande zote mbili yaani CCM na CHADEMA.

Yaani unawapa faida CHADEMA zaidi (ushindi mwaka 2025) lakini wakati uohuo unawachanganya (contradict) kwa kuwataka kucheza mchezo hatari wa pata potea wa mwaka 2015 dhidi ya Edward Lowassa aliyetoka CCM pia dakika za mwisho.

Kwa CCM kwao ni kama kawa tu kwa tuwajuavyo. Ni kiburi cha madaraka na kushika dola. Watadharau na kupuuza. Wanadhani kila siku ni Jumapili. Hawajui kuwa nyakati na majira hubadilika.

Hawa, wataendelea na dhana yao ileile ya "BAO LA MKONO" kwa sababu ndio wanadhibiti mifumo ya kiserikali inayosimamia uchaguzi. Wanadhani hata wakiweka jiwe watalishindisha tu na litakuwa Rais wa nchi hii.

Japo huu unabii si justification ya moja kwa moja, na nabii huyu katika deliverance ya message yake anaonekana kutokuwa straight kwa kutumia maneno "nadhani" au "hapa naomba nisiseme" ambao ni ushahidi wa uncertainty kwa kile akisemacho. Ujumbe wa Mungu huwa hauna konakona. Huwa uko straight forward ukiwa na authority..

Hata hivyo kuna elements za uhalisia wa jambo hili kwa kuangalia mambo yanavyokwenda sasa ktk taifa letu. Kama CCM wana akili wasije wakathubutu kumweka huyu mama kama mgombea wao mwakani
 
Huo unabii nani kautoa aje atueleze hapa ameutoa wapi ,kama sio ujinga ni nini
 
Propaganda za siasa bana ukijichanganya unajikuta kwwnye mtego watu wqnakujaza tu upepo
 

Huyu huyu Gwajima aliyezunguka nchi nzima anasema Samia Hoye ndio agombee 2025?

Yamkini Gwajima anataka kugombea kweli; ila siamini kuwa atagombea 2025. Kuna kitu cha kukiangalia sana kwenye hili; Gwajima na Samia lao ni moja!
 
Umeandika kwa uchungu sana ila kuliko Gwajima, bora Hangaya aendelee tu.

Ukute Gwaji Boy, katuma watu wapime upepo.
Huo ubunge wa Kawe tu amshukuru Magufuli.
 
Mimi nilishamkataa zamani Sana Samia. Hawezi na ni dhaifu mno . Ashindwe na ashindwe Tena
 
Kwa jicho jingine... Je Kama ni watu wa CCM wasiomtaka mama, wanamtisha ili asigombee, ili wao wachukue hio nafasi Wala sio Gwajima, kwamba hapa wanatumia jina la Gwaji Kama skape goat ya timu flani ndani ya chama?
 
Kwa jicho jingine... Je Kama ni watu wa CCM wasiomtaka mama, wanamtisha ili asigombee, ili wao wachukue hio nafasi Wala sio Gwajima, kwamba hapa wanatumia jina la Gwaji Kama skape goat ya timu flani ndani ya chama?
Sidhani,

CCM inaambiwa wazi kuwa,

Ili ishinde Kwa HAKI na Nchi itulie na kupiga hatua,

Imteue Gwajima.

Nionavyo, ni ushauri mzuri kuliko kumwacha aende upinzani.
 
Makonda gwajiboy awe rais!!!????
My foot yaan appearance yao tuu hawa sifa
Wakafanye kazi zingine

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We kijana unaangaika sana magu maguful
Huyo ni mmeo?
Kama unampenda sana kunywa sumu ukazikwe pembeni yake

Kwa taarifa yako hiyo Kanda ya ziwa haitegemewe kura zake ili mtu awe rais
System ikiamua nan awe rais hakuna kiumbe atapinga mpigekura msipige

Msifikir wingi wenu ndiyo unaamua

Kazi tuu kupiga kelele hapa magu magu magu magu nenda kazikwe nae

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huwa simukubali na mambo yake ya misikule lakini Gwajima ni bira mara 1000 kuliko Samia. Gwajima ni mtu Moja mwenye akili sana na mwenye upeo Mkubwa sana linapokija suala la Maendeleo ya nchi. But nafsi kama kweli atakuja kuwa mgombea nitampa kura yangu na nitampigia Kampeni
 
Siamini utabiri, ila Mungu anapenda sana nchi iongozwe na Makonda kwani ana ukali kama wa JPM. Nchi hii bila kuwa mkali na kutoangalia makunyanzi mambo hayaendi.
Peleken ujinga wenu huko nan ampe nchi huyo mnafiki na mchonganishi
Huyo aendelee kulamba miguu ya wakubwa zake tuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii video niliiona juzi.
Huyu anasema alimuuliza Mungu ana mpango gani kuhusu hawa walimwengu ambao hawaishi kwa kufuata maadili?
Mungu akamwambia,"Wewe niambie. Unataka nifanye nini? Utakalosema,nitafanya."
Kwa hiyo anayesema Gwajima atakuwa rais ni huyu nabii,siyo Mungu.
Na hapa Mungu anaposema nataka mapadre wangu na masheikh wangu wanieleze,nini kifanyike:hapa ndipo unataka kuona kama binadamu anao uwezo wa kufikiri au ana akili tegemezi.
Hii ndio inaitwa kumuingiza nyoka katika bustani,huku kutaka kujua kama binadamu ana uwezo wa kufikiri bila Divine help. Hii ndio kwa utani inaitwa "dini ya shetani."
Kwa sababu shetani ndie anamwambia Mungu,"Mpe binadamu akili ya kufikiri.
Akishindwa kufikiri,niachie mimi nitamnyoosha."
 
CHADEMA NA MAUJINGA YAO!.......
Ushuzi huu.
 
Wagalatia ni chama au ni watu Gani!?

Msichana wa miaka 17 huwa anakuwaje au anahusiana vipi na mada hii!?
Msikilize Nabii feki, utapata majibu yote ya maswali yako.
Kama huna GB za kutosha, siwezi kukusaidia, kwani ukitaka kuifaidi hii mada ni lazima usikilize video hiyo. Vinginevyo utakuwa umekurupuka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…