Pre GE2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 utafanyika kwa amani na utulivu sana, CHADEMA hawataambulia kitu chochote, wapuuzwe tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.

Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.

Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.

una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
No reforms no......
 
Hiki chama kitakutoa mshipa😂🤣🤣
Sio mishipa tu gentleman,
CCM imedhamiria kuwatoa waTanzania wa makundi yote katika lindi la umasikini na kuwafanya wajitegemea na kufurahia Utaifa na Tanzania wao 🐒
 
Kuna ukomo wa binadamu kujitoa ufahamu sababu ya tumbo. Huo ukomo ukivukwa basi inakuwa ni kukosa akili.
 
kufikia ukomo wa fikra mpya na mawazo mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani, tena asubuhi asubuhi ni kitu mbaya sana gentleman,

pole aise,
uchaguzi ni Oct 2025 ya mwaka huu 🐒
 
Sasa ww ccm imekutapeli kila kitu ikiwemo utu wako huna unachokisimamia kila kitu ni mpaka ccm ikuamulie, ur empty ur nothing
relax gentleman,
kwahiyo unafurahia kurubuniwa pesa, uhuru na haki ya kupiga kura na kibaka wa kisiasa, na unajipiga kifupi kabisa mbele za wadau?

uko sawa kwenye mentally gentleman?🐒
 
Sio mishipa tu gentleman,
CCM imedhamiria kuwatoa waTanzania wa makundi yote katika lindi la umasikini na kuwafanya wajitegemea na kufurahia Utaifa na Tanzania wao 🐒
Waooooh Gentleman !!Ni CCM hii iliyopo madarakani Kwa miaka 60?
 
Yes,
ni hii hii inayoongoza serikali sikivu ya kidemokrasia, inayoongozwa na kiongozi shupavu, madhubuti na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan.

Usipotoshwe na vibaka wa kisiasa 🐒
 
relax gentleman,
kwahiyo unafurahia kurubuniwa pesa, uhuru na haki ya kupiga kura na kibaka wa kisiasa, na unajipiga kifupi kabisa mbele za wadau?

uko sawa kwenye mentally gentleman?🐒
Chadema chini lisu hakuna utapeli siasa za chadema.za sasa ndio tumaini pekee la watz lililobakia kama ni uchaguzi fanyeni wenyewe mchakuane halafu mfurahie ushindi
 
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.

Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.

Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.

una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Bila ya policcm unaouwezo wa kushindana ukashinda?
20250223_162944.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Bila ya policcm unaouwezo wa kushindana ukashinda?
View attachment 3248902
Gentleman,
polisi, raia, wananchi na waTanzania wote waliotimiza vigezo stahiki na sifa za kikatiba za kupiga kura, watashiriki kikamilifu zoezi la kihistoria la kupiga kura October mwaka huu 2025.

Imani na dhana potofu, ramli na ushirikiana fanyeni huko huko kwenye vyama vyenu 🐒
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Unachekesha, chadema ndio chama cha kupewa kura hakuna wa kukipuuza
 
Chadema chini lisu hakuna utapeli siasa za chadema.za sasa ndio tumaini pekee la watz lililobakia kama ni uchaguzi fanyeni wenyewe mchakuane halafu mfurahie ushindi
Relax gentleman,
iwe jua ama mvua uchaguzi wa Tanzania utafanyika October mwaka huu 2025, bila kujadli makelele au mayowe ya vibaka na matepeli wa siasa nchini

Ushindi wa kishindo wa CCM ndio Furaha ya waTanzania wote 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom