Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambaneni na neto kwanza chadema sio size yenu we kibanga mlamba makalio ya wasirayaani vibaka wakuweke juu gentleman?
are you real mentally fit gentleman?🐒
Ujinga ni mzigo mkubwa unaokusumbua wewe. Kwenye nchi iliyojaa matatizo yakiwemo umasikini, elimu duni na ukosefu wa huduma muhimu kama hii.chama kinakosaje agenda za uchaguzi?October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
matatizo yako binafsi sio matatizo ya wananchi wa Tanzanani,Ujinga ni mzigo mkubwa unaokusumbua wewe. Kwenye nchi iliyojaa matatizo yakiwemo umasikini, elimu duni na ukosefu wa huduma muhimu kama hii.chama kinakosaje agenda za uchaguzi?
Ati ccm imezamiria kumaliza changamoto ? Baada ya miaka 60 zimalizwe na kina wasira?

Hivi kwa nini mnawalazimisha watu wakashiriki uchaguzi wakati hawataki? Kama mnaupendo mnashindwa nini kubadili sheria za uchaguzi?October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
hakuna wa kupambana na chochote nchii hii gentleman,Pambaneni na neto kwanza chadema sio size yenu we kibanga mlamba makalio ya wasira

Wizi wa kura, mitihani, kuuzwa kwa bandari na maliasili zetu, rushwa, ukosefu wa ajora, nk ni matatizo yangu binafsi?matatizo yako binafsi sio matatizo ya wananchi wa Tanzanani,
fanya bidii kutatua changamota za umaskini wako, uvivu, mihemko na makasiriko yako ndio changamoto yako.
epuka kuatapeliwa pesa, fikra, uhuru na haki yako ya msingi ya kikatiba kuchagu au kuchaguliwa kua kiongozi katika uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania,
huna haja ya kujifanya muerefu hali ya kua umejaa makasiriko tupu moyoni![]()
NEto ndio saize ya ccm wewe mlamba kalio za wasirahakuna wa kupambana na chochote nchii hii gentleman,
mapambano yaliopo sasa ni kuhakikisha waTanzania wote wanashiriki uchaguzi, huru, wa haki na wazi bila makelele wala mdomo wa matapeli wowote wa kisiasa nchini.
hakuna haja wala muda wa kubabaika na ushirikina wa chama chenu nchi hii![]()
haibadilishwi aya, nukta wala koma kwenye sheria za uchaguzi wala katiba ya nchi kwasababu mambo hayo tayari yalishafanywa na bunge tukufu la Tanzania,Hivi kwa nini mnawalazimisha watu wakashiriki uchaguzi wakati hawataki? Kama mnaupendo mnashindwa nini kubadili sheria za uchaguzi?

mtaimba sana dhana hizo potofu za kitapeli na kichochezi kwa wananchi mpaka mtoke machozi na jasho la damu,Wizi wa kura, mitihani, kuuzwa kwa bandari na maliasili zetu, rushwa, ukosefu wa ajora, nk ni matatizo yangu binafsi?
Kuzitaja changamoto zilizopo nchini ni mihemko na makasiriko?
Kakakae na mama yako muanzishe taifa lenu ambalo mtasifia kila kitu hili la Tanzania ni la kwetu wote wala siyo mali ya ccm

Mkichukua kila kitu / kila Jimbo ni kwa faida ya nani?October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Akili zako ni ndogo sana. Kwamba hata mawazo mbadala kutoka kwa watu wa vyama na taasisi mbadala zilizosajiliwa kwaujibu wa katiba na sheria za nchi wewe unaita UTAPELI na vibaka?mtaimba sana dhana hizo potofu za kitapeli na kichochezi kwa wananchi mpaka mtoke machozi na jasho la damu,
CCM itaendelea kutawala nchi hii, kwasababu ndio chama kinachoaaminika na kukubali kwa waTanzania,
na chaguzi za Tanzania zitaendelea kufanyika kwa salama na amani bila kujali mayowe na makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa, walikosa sera na waliopoteza uelekeo.
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi binafsi,
ajira za uhakika na za kutosha zipo kwenye kilimo shambani, usizubae mjini, utazeeka kusugua viatu tu kwa kuzurura![]()
msipokua makini mtatapeliwa sana na vibaka wa kisiasa ndugu zangu vijana,
kaeni rada, kaeni chonjo 🐒
Gentleman,View attachment 3249197
Bila ya kutumia hawa mbwa wa policcm hakuna mnaloliweza huko ccm.

ni kibaka na tapeli wa kisiasa pekee teana aliekosa hoja na agenda anaweza kuwachoche wananchi wasusia haki zao za kikatiba hususana kupiga kura,Akili zako ni ndogo sana. Kwamba hata mawazo mbadala kutoka kwa watu wa vyama na taasisi mbadala zilizosajiliwa kwaujibu wa katiba na sheria za nchi wewe unaita UTAPELI na vibaka?
Kibaka na tapeli wa Tanzania ni nani kati ya mwizi wa Richmond, kagoda, escrow nk na yule wa upinzani anayetoa mawazo mbadala?
Ccm itaendelea kushinda na kungoza kwa sababu ya wizi wa kura ikisaidiwa na tume ya taifa NEC, TISS, POLISI NA JW.
Kama ni turejee 2020 na 2024
Jifunze kusoma

Hakuna kibaka wala tapeli aliye hamasisha mtu yeyote kufanya uchaguzi. Weweuna weweseka na usiyoyajua. Chama uachokiimba kila siku kwamba kinakubalika kwa kuwa na sera nuri kinaogopa nn kufanya mabadiliko ili kufanya uwanja wa kuchezea uwe sawa n tambarare?ni kibaka na tapeli wa kisiasa pekee teana aliekosa hoja na agenda anaweza kuwachoche wananchi wasusia haki zao za kikatiba hususana kupiga kura,
Mwanasiasa makini hawezi kuchochea utapeli wa aina hiyo gentleaman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika kwa muji wa katiba ya nchi, na sio kwa mbambamba, ushirikina na imani potofu kama hizo gentleman![]()
UCHAGUZI HAUTAKUWEPO KABISA NA KAMA UTAKUWEPO VITUO VITACHOMWA MOTO NA ATAKAYEENDA KUCHAGUA ANAPIGWA MAWE .Maana upinzani hatutakuwa na Cha kupoteza wakati huoOctober ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
uchaguzi wa Tanzania hufanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.Mkichukua kila kitu / kila Jimbo ni kwa faida ya nani?
Kama ni kwa faida ya CCM mnakosea Ila Kama ni kwa faida ya wananchi wa Tanzania ni sawa.
Maadui wa taifa tulio aminishwa Toka uhuru ni UJINGA, UMASKINI, MARADHI.
NI KWANINI CCM HAITAKI TUME HURU / KATIBA MPYA NI KWA NINI? UNADHANI HAKI MILIKI YA KULIONGOZA HILI TAIFA NA FOR SURE.
Mmeshindwa kwenye kila eneo kwenye afyaa ujanja ujanja, elimu imeiua,